Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

hao marvel tumeshawazoea tofaut na wakorea hua zinatoka episodes mfululizo hamna kusubiria miezi.
Nilikua nawaonea huruma wanaofatilia GOT walivyokua wanangojea season 8
Najuta sana kuwa mshabiki wao mana excitement will kill me..
Sijawazoea kabisa wanachofanya.. Ngoja niendelee Kuwait muendelezo wa black panther na Doc strange 2021
 
Hawa kumbe washapigana talaka

South Korean celebrities Song Joong-ki and Song Hye-kyo, who tied the knot in real life in 2017 after playing a sizzling couple on screen, have announced their split.
Song Joong-ki, 33, who gave a statement to fans through his lawyer, said he hoped for an amicable divorce.
He officially filed for divorce from Song Hye-kyo, 37, at the Seoul Family Court on Wednesday (June 26).

The statement shared with online portal Soompi read: “Hello. This is Song Joong-ki. First, I’d like to apologise for delivering this unfortunate news to the many fans who love and care for me.

“I have begun the process of filing for divorce from Song Hye-kyo. Rather than denouncing each other and arguing over who is to blame, I hope that the divorce process can be wrapped up amicably.

“I ask for your understanding in regard to the fact that it is difficult to discuss the details of my personal life, and I will recover from my current wounds and do my utmost as an actor to repay you through great productions in the future. Thank you.”

On Thursday, Song Hye-kyo's agency, United Artists Agency, also released an official statement about the divorce proceedings, saying the split was due to differences in their personalities.
askikyo27.jpeg
 
Walimwagana tangu September 2018 ila walificha siri mpaka mwaka huu
Hawa kumbe washapigana talaka

South Korean celebrities Song Joong-ki and Song Hye-kyo, who tied the knot in real life in 2017 after playing a sizzling couple on screen, have announced their split.
Song Joong-ki, 33, who gave a statement to fans through his lawyer, said he hoped for an amicable divorce.
He officially filed for divorce from Song Hye-kyo, 37, at the Seoul Family Court on Wednesday (June 26).

The statement shared with online portal Soompi read: “Hello. This is Song Joong-ki. First, I’d like to apologise for delivering this unfortunate news to the many fans who love and care for me.

“I have begun the process of filing for divorce from Song Hye-kyo. Rather than denouncing each other and arguing over who is to blame, I hope that the divorce process can be wrapped up amicably.

“I ask for your understanding in regard to the fact that it is difficult to discuss the details of my personal life, and I will recover from my current wounds and do my utmost as an actor to repay you through great productions in the future. Thank you.”

On Thursday, Song Hye-kyo's agency, United Artists Agency, also released an official statement about the divorce proceedings, saying the split was due to differences in their personalities.View attachment 1152763
 
The king loves ipo vizuri

Napenda hizi historical drama zenye episode 20 tu mwisho 30 basi kwenda 50 huko mbali labda ziwe family drama tena modern
  1. the woman I love was captured and is bleeding, what man would not interfere? (wang lim)
  2. i will let one of them to live whether its the woman who you insist is your love or Lim who is you think is your friend, some one has to be punished for their sins, you have to leave one to be punished, i will let you to have the other one choose. king in loves ( ep 9.)
  3. usijaribu kuwa rafiki wa ukweli wa crown prince, yeye atakuwa mfalme hapo baadae hivyo basi hatokuwa na rafiki
niliupenda sana urafiki wa ukweli kati ya crown prince won na bwana wang rim mule ndani.
Wang rim alikuwa ndiye mgoryeo pekee aliyekuwa akionyesha heshima, uaminifu na nidhamu kwa bwana wang won ambaye kiasili mzazi wake mmoja alitokea tawala ya Mongolia.

love triangle kati ya wanaume wawili hao dhidi ya mwanamke mmoja itaendelea kuleta mgawanyiko wa kimtazamo mpaka ulimwengu wa drama utakapokwisha, binafsi nilimpenda second lead actor mule ndani (wang rim) kama nilivyompenda yeong moon kwenye emperor of the sea drama.

ingelipendeza zaidi hii drama kama ingelituonyesha kwa kiasi kikubwa hisia za mwanadada San amezielekeza upande upi kati ya crown prince wang won au wang lim ila bahati mbaya drama ilituonyesha zaidi maisha ya wanaume wawili waliompenda zaidi msichana mmoja

kipindi naifuatilia hii drama nilipofika episode 37 (19 ep) nilijikuta nadondosha machozi kama fala fulani aliyeshindwa kutofautisha kati ya maisha ya mavumbini dhidi ya maisha ya kukurupuka kwenye media ilimradi aonekane ni mtaalamu wa makinikiyya bin koroshow (ndio maana sijifunzi lugha ya malikia kwa kuhofia kukutana na maguru wa lugha wakanitoa utumbo wa mbele)

niliipenda barua aliyoiandika bwana wang lim kwa bwana crown prince wang won, crown alimshambulia wang lim baada ya jamaa kuonyesha dalili za kumfanyia usaliti kumbe ilikuwa ni kinyume chake na alishindwa kugundua hilo mpaka aliposoma barua yake
teh teh teh nilijikuta yale maneno nimeyahifadhi sehemu ambayo ni virtual (google drive) kwa jinsi yalivyoweza kuniteka kihisia.
ile barua ilikuwa imebeba yale tunayoyashuhudia hapa nchini kwetu,
  1. kuna watu wanajifanya ni watetezi wa raisi aliyepo madarakani ili watimize malengo yao ya tumbo haijalishi kwa njia ya mauaji.
  2. kuna watu wanamchukia raisi aliyepo madarakani kwa sababu amewadhibiti kwenye njia zao chafu za kujipatia kipato kinachowafaidisha wao na familia zao.
  3. ...........................................................

" Mwana wa mfalme mtukufu kwanza nakuomba unielewe kusudio langu, yote haya nilioyaandika ndani ya barua hii ndio niliyotamani nijadiliane na wewe baadae, nimejaribu kuambatanisha majina ya watu mashuhuri walioshikilia nguvu ndani ya nchi hii ambao wanajifanya kuwa nyuma ya kivuli cha mfalme kumbe wanamdanganya ilimradi wafikie malengo yao.

Kwao wao hawajali ni nani atakayetawala isipokuwa wanachohitaji ni mfalme atakaye fuata amri zao hivyo basi hawahitaji mtu mwenye maarifa kama wewe ndio maana wanakupiga vita na ndio maana wamekuja na hoja ya kwamba wewe una damu ya utawala wa yuan na goryeo.

mfalme anaendelea kuwa hai kwa sababu anafuata kile wanachotaka wao lakini kwa sasa wanataka mfalme mpya hivyo basi wanataka kumuua mfalme na kumweka mfalme mwengine asiyekuwa na nguvu ili wapate kumfanya kama puppet, kadri nitakavyoendelea kuishi wataendelea kunisumbua ili nikugeuke na mimi niwe mfalme jambo ambalo litakufanya uwe dhaifu ila najisikia fahari kwa kuweza kuendelea kuwa nawe karibu na kukulinda.

lakini nampenda msichana ambaye yupo kwenye moyo wako na nashindwa kujizuia kutokumpenda haliyakuwa najua nikosa kubwa kumpenda na nastahili adhabu ya kifo na kwa hili katu sitakuomba msamaha.
Ila kama utaniacha hai basi tafadhali naomba uniruhusu niondoke kwenye mji huu na nikaishi mbali sana na maisha yangu yote niishi kama ni mtu aliyekufa.

kwa jambo hili nakuomba kama mtumishi wako, kama rafiki yako na kama ni ndugu yako wang lin"

the king loves drama imetokana na novel inayoitwa the king loves, novel yake niliwahi kuwa nayo kwenye mashine (laptop) yangu lakini ilinipotea baada ya kubadilisha hard drive bila kufanya backup.
 
Una kipaji cha hali ya juu cha kutoa maelezo matamu yasiyochosha. Una comedy nzuri,nasoma huku natabasamu.Ningepata hata nusu ya hiki kipaji ningekua nafollowers milion kule insta.

Hii movie imenifurahisha sana hasa kumuona crown prince yupo huru kuzurura mitaan na kakikundi kake kalikojificha akitoa amri tu kanaibuka fasta

wang lin alikua royal sana kwa rafiki yake na bibie san niliona kaonyesha hisia zake zaidi kwa wang lin badala wa crown prince.

Una kipaji cha ualimu mkuu mpaka kunifanya na mimi nikuelewe maana ubongo wangu naufahamu mwenyewe
 
one spring night drama: (miongoni mwa best drama kwa miezi 6 iliopita tokea uanze mwaka 2019)
Great casting, Great acting, Great cinematography, and Great storyline.

wanadamu wenye fikra kama za gi seok kwenye ulimwengu wa mahusiano ni hatari sana kuliko watekaji meli na ndege za angani za kusafirishia kondomu (no questionnair puleeeessi i em noti palamagambaro),
gi seok maisha yake yote amejiaminisha ya kwamba mahusiano yake na mwanadada jeong in yametokanwa zaidi na utofauti wa heshima kwenye jamii (social status) na si mapenzi ya ukweli. ndio maana si ajabu pale alipoulizwa na mwanadada jeong in kama ataamua kurudi tena kwake atampokea haliyakuwa ameshamsaliti kwa kuanzisha mahusiano ya kimapenzi na rafiki yake wa karibu hakusita kujibu ndio.

Gi seok aliamini mwanadada jeong in amefuata fedha kupitia uhusiano wao pamoja na heshima atakayoipata pamoja na familia yake(baba yake) pindi watakapokubali kuunganisha familia mbili kwa njia ya ndoa haijalishi kwa njia kulazimishana kwa dhumuni fulani (marriage of convenience )

Alichokisahau bwana yule kwenye maisha ya mahusiano ya kimapenzi dhana ya kuwa na fedha, umaarufu kwenye jamii, cheo kikubwa na mengineo ambayo kila mmoja kati yetu anatamani kuwa navyo kwenye maisha yetu havikupi uhakika wa furaha ndani ya nafsi, ni wangapi wameshaachana kwa kukosa furaha kwenye mahusiano yao huku wakibarikiwa utajiri wa mali uliokithiri?

kama mali zinaleta amani na utulivu wa kiwiliwili kwenye mahusiano tusingelishuhudia kuvunjika kwa mahusiano ya song song couple ambao kwa pamoja asset zao zinafikia dollar millioni 100 kwa mujibu wa vyanzo mbali mbali vya habari, si hela nyingi sana ukizifanyia ulinganisho na fedha wanazotengeneza wasanii wa kimagharibi lakini kwa maisha wanayopitia korean celebrities nchini mwao ni kiwango kikubwa sana cha mali.

jeong in aliitafuta furaha na si mali au vyeo wanavyoahidiwa na wenza wao kama wafanyavyo wengineo, ji ho hakuwa tajiri na wala familia yake haikuwa na nguvu yoyote kwenye jamii.
hekima,ukweli, tabia zake za kumjali, kumsikiliza na hata kumheshimu jeong in tokea siku ya kwanza walipokutana zilimfanya mwanadada amsahau mchumba wake waliodumu kwa miaka minne kimahusiano.
gi seok alijikuta akizirithi tabia za fisi anayesubiri mguu wa mtoto aliyebebwa mgongoni udondoke, alitumia kila njia ili aharibu mahusiano ya ex wake lakini wapiiii kumbe alikuwa anamuongezea farasi wa kanmoreu mwendo.

single father oyeeee, angalau na nyinyi mumepewa heshima yenu kwenye ulimwengu wa sanaa.
alah! kila siku single mother tu utadhani wao ndio pekee wanaoteseka na ulimwengu wa kutelekezwa kimahusiano.

1153821
 
September ni mbali can't wait lakini vita vya 3 igutus
  1. Part 1: Children of the Prophecy”
  2. Part 2: Sky Turned Inside Out, Rising Ground
  3. Part 3: Arth, the Prelude to All Legends
part 3 inakwenda kutuzalishia reincarnation ya aramun haesulla kati ya 3 igutus, bahati mbaya sana igutus wote mpaka muda huu kwa mtazamo wangu dhaifu wameshindwa kuifahamu sauti ya pili ambayo atakuja nayo aramun haesulla mpya nayo ni sauti ya kike inayowasilishwa na ASA Tanya.
haijalishi uwe ni igutus huwezi kuwa aramun haesulla mpya bila ya uwepo wa mwanadada Asa Tanya kutoka kabila la wahan kwa sababu yeye ndiye kengele kwa mujibu wa different prophecies

hivi nimekosea kumwita ASA TANYA?
hapana, hapana sijakosea kumpa heshima hiyo kwa sababu tumeshashuhudia mwishoni mwa part 2 bidada amefanikiwa kuwathibitishia makabila yote yanayounda taifa la arthdal yeye ndiye aliyebeba damu ya bibi ASA SIN na si Asa Hon na wapiga ramli wenzake uchwara.

nimeuona mwisho wa Asa hon na kabila lake lote ndani ya ardhi ya arthdal, kilichobaki mzee anapaswa akusanye virago vyake zikiwemo nguo zake zilizojaa mikojo(nimekusudia damu) kama mtoto mdogo anayeishi magogoni (zanzibar lakini) aelekee kisimani akazioshe, baadae arudi kwenye jumba la kifalme (nimekusudiria jumba la tabiri ) asafishe eneo lote lililokwishajaa najisi iliotokana na damu ya wasiokuwa na hatia iliopotea kwa kushirikiana na wajinga wenzake kuimwaga kwa hoja dhaifu ya civilization na kujilimbikizia madaraka ya muda mrefu huku akisahau ukomo wa muhula (no coding).

sikutegemea kama mubaek atakamatwa mapema na igutu anayejificha uhalisia wake (bwana Tagon) lakini nimefurahishwa sana na mbinu aliyoitumia mubaek ili apate kujiokoa na kifo kutokana na kumsaliti tagon, taarifa alizompa kuhusiana na alichokishuhudia kwenye ardhi ya IARK ndizo zilizopelekea tagon aibuke mshindi kwenye vita yake ngumu dhidi ya ASA HON,

lakini kuna taarifa muhimu sana kuliko hiyo aliyompa ameshindwa kumwambia bosi wake anayejiandaa kuwa aramun haesulla mpya nayo ni uwepo wa igutu mwengine ambaye ni eunseom ambaye amemshuhudia akiendesha farasi aina ya kanmoreu, nje ya hapo inaonekana wakaazi wengi wanaounda nchi ya arthdal hawaifahamu asili ya aramun haesulla kuwa na yeye alitokana na mchanganyiko wa species mbili (igutu)

tagon na mtoto wake wa kumlea (saya) naamini muda huu huko waliko wameshajiaminisha ya kwamba tayari wameshaikamata ardhi ya arthdal na watakuwa na uwezo wa kufanya uamuzi wowote bila ya kupingwa kwa sababu wao ndio pekee wenye hakimiliki ya kuitwa igutu ambao ndio wabebaji wakuu wa utabiri wa ujio wa aramun.

lakini kama tagon atashindwa kuweka hadharani siri yake ya kuwa igutu basi kuna uwezekano mkubwa bwana mdogo saya atautumia udhaifu huo wa baba yake ili awadhihirishie wananchi kuwa yeye ndiye aramun haesulla na si baba yake wa kumlea na tusisahau saya ndiye kioo kilicholetwa na Mungu Arjun, hapo ndipo balaa litakapoanza kati ya wanafamilia wawili.

both tagon na saya watapigwa na mshangao mkubwa sana pindi watakapogundua ya kwamba:
  • kuna igutu mwengine zaidi yao ambaye ni eunseom
  • tagon atapigwa na mshangao zaidi pindi atakapogundua ya kwamba wale binadamu jamii ya neanthal hawakufariki wote na sasa wamerudi tena kutafuta haki yao iliopotezwa na saram.
sdsa_1.jpg
 
Una kipaji cha hali ya juu cha kutoa maelezo matamu yasiyochosha. Una comedy nzuri,nasoma huku natabasamu.Ningepata hata nusu ya hiki kipaji ningekua nafollowers milion kule insta.
dada yake meok goo baadhi ya nyakati una vituko kama chakula cha shughulini kilichochezewa na washirikina,unaweza kujikuta unakandamiza matonge ya wali kumbe unakula chicha zinazotokana na nazi.

hivi kwani instagram kunauzwa maneno au picha na videos?

ahsante sana kwa hii heshima ulionipa.​
 
Wewe Daemusin wewe... Sisi dada zako tuna familia, kama unataka ufafanuzi halisia basi tusisitize tukufafanulie. Ndipo utakapojua maana ya “disappeared and died”
teh teh nimekoma mjinga mimi niliyekataa kujifunza kiingilishi nikiwa shuleni (skuli, madrassa)
kumbe ili nifahamu utofauti kati ya kufa na kutoweka pamoja na kufa au kutoweka mpaka nifanyiwe practical kama mdudu panya?

acha niendelee kubaki na kiswahili changu cha unguja mjini.

samahani kwa kukuita uchawini :D :D
 
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
As I could remember well, back in 2011 or 2012 nilipewa series ya City Hunter na Gal wangu niicheki because it was a hit show wakati ule nikajikaza Mwamba with Season 1 aisee sitakaa ni sahau nilijikuta nimesinzia sitting room mpaka Mbu wakaniamsha. Since that day nikajua sina vibe na hizi Korean Products na vibe halijawahi ku change hata nilipojaribu kucheki the other ones. Ila hongereni mnaoweza vibe na hawa jamaa, for sometimes nikipitaga uswahilini siku hizi ninakuta wana tafsiri kwa kiswahili dah! yani ndio jau mara mbili to my perspective...
 
Hahaha aisee huo mfano

Kunauzwa maneno,picha au video bila maneno hainogi kabisa. Kuna wengi wana account za korean drama ila hawa vibe kama lote
dada yake meok goo baadhi ya nyakati una vituko kama chakula cha shughulini kilichochezewa na washirikina,unaweza kujikuta unakandamiza matonge ya wali kumbe unakula chicha zinazotokana na nazi.

hivi kwani instagram kunauzwa maneno au picha na videos?

ahsante sana kwa hii heshima ulionipa.​
 
Hahaha aisee huo mfano

Kunauzwa maneno,picha au video bila maneno hainogi kabisa. Kuna wengi wana account za korean drama ila hawa vibe kama lote
nimeyakumbuka maneno ya mwanasiasa fulani aliyealikwa kwenye kongamano la wanawake na harakati za kiuchumi.
alitoa porojo weeeee mwisho akamalizia kusema
"wanawake nyote uchumi mnao lakini mumeukalia"
kwa mujibu wa maneno yako ina maana hata mimi uchumi ninao lakini bado nimeulalia, kumbe instagram inaweza kunitoa kimaisha kwa kutumia hili porojo langu.
daebak
 
Kang Ji Hwan Admits To All Charges In Sexual Assault Case
On July 15, Kang Ji Hwan’s legal team issued the following statement:
This is Kang Ji Hwan’s law firm HwaHyun. We are conveying Kang Ji Hwan’s official statement.
This is Kang Ji Hwan. I admit to all charges and I bow my head and sincerely apologize to the victims that I have hurt greatly with my irreparable wrongdoing. I want to also apologize to everyone that I have concerned because of this. I will accept punishment for my crimes and make atonement.
I apologize profusely.
Signed, Kang Ji Hwan.
Kang Ji Hwan was starring in the drama “Joseon Survival,” however he has canceled all activities following his arrest. It was announced on July 15 that actor Seo Ji Suk will be taking over his role.
1154174
 
Sana tu uchumi ulionao mkubwa mno

Back
Top Bottom