Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwangu hayo ni mateso,nilijaribu kwa My golden life ila ilinikomesha nikastaafu fatilia ongoing. Tena kipindi nafatilia kulikua na awards mara iwepo mara isiwepo mpaka next week
Mie siwez kuvumilia. Yani kama cast nampenda naenda nayo sambamba.
Jana ndio nimeanza kuangalia Perfume baada ya kugundua sungrok hajaigiza km villain
 
Natafuta Korean drama moja inaitwa " My Girl"... Naombeni msaada plz
 
Aisee hivi mnatumia link gani ku download hizi seasons sio kucheki ila ku download

Msaada please

itapendeza kama utakuwa na software inayo support download mfano IDM
 
Hahahahaha nimechekaaaa nimepunguza stress shukran
siku hizi naogopa hata kuzipa likes comment zako au kuzinukuu (quotes) pamoja na comment za yule dada mbabe mwengine (nahofia kumtaja jina lake) kwa:-
  1. kuhofia kupelekwa kibiti ili nikafundishwe utofauti wa kufa na kupotea, pamoja na kufa au kupotea
  2. kuhofia kuwaita uchawini kiujanja haliyakuwa mulishaniambia nisiwaite tena kupitia comment namba 9860, muliyoyashuhudia uchawini bado yameendelea kutawala kwenye fikra zenu.

ibada njema
mapumziko mema
jumapili njema, wenyewe wanasema siku ya jumapili inasafisha kutu (rust) za wiki nzima.
 
itapendeza kama utakuwa na software inayo support download mfano IDM
Ooh kama sina sasa
 
Mara Ya Mwisho Kuangalia Kdrama Ilikuwa 2015, Naomba Kuuliza Hivi Wakorea Wamefanikiwa Kutengeneza Historical KDrama Kali Kuliko JUMONG?? Sijafanikiwa kuiona SIX FLYING DRAGONS ila sidhani kama ni kali kuliko JUMONG
 
siku hizi naogopa hata kuzipa likes comment zako au kuzinukuu (quotes) pamoja na comment za yule dada mbabe mwengine (nahofia kumtaja jina lake) kwa:-
  1. kuhofia kupelekwa kibiti ili nikafundishwe utofauti wa kufa na kupotea, pamoja na kufa au kupotea
  2. kuhofia kuwaita uchawini kiujanja haliyakuwa mulishaniambia nisiwaite tena kupitia comment namba 9860, muliyoyashuhudia uchawini bado yameendelea kutawala kwenye fikra zenu.

ibada njema
mapumziko mema
jumapili njema, wenyewe wanasema siku ya jumapili inasafisha kutu (rust) za wiki nzima.
Hahaha nimecheka sana Dah! Yamekuwa hayo tena! Shukran kwa kheri zilinifikia naamini umepata ile soju tuliyotuma kwa ushirikiano na Nifah.
 
Back
Top Bottom