Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Turudi uku kwenye drama,Sanya ni kivuruge sijapata kuona.simwelewi sana dhamira yake.......ina maana hajui huyo anaemwita baba (tagon)ndie aliyeua kizazi chake!?yaan kiufupi simsomi kabsaaaaaa.anafanya matukio heavy alaf anaenda kujifungia ndani!ukiangalia hizo episode mbili naomba kujua amehamia upande wa Tanya ama,yaaan hayuko tena upande wa baba yake like let's rule the arthadal!?you will be the king and me nitakua mrithi!!?
sifa kubwa ya igutus ni uwezo wao wa kuyazowea mazingira kwa muda mfupi (quick learners), ukimuangalia saya amekulia mazingira ambayo amezungukwa na wanadamu waliojawa na tamaa na vitendo vya ukatili na hayo yote ameshayashudia tokea udogoni kwake.

=====>> ameshashuhudia baba yake akitoa uhai wa wanajeshi wake kwa ajili ya kuficha siri za kwake yeye
======>> ameshashuhudia mauaji ya mchumba wake saenarae yaliyo ongozwa na taelha
hivyo basi na yeye amekulia na tabia zile zile za ukatili, tamaa na mikakati ya kijanja kwa dhumuni la kufanikisha malengo yake.
=======>> saya ni msomi, elimu yake inamsaidia sana kwenye uandaaji wa mikakati yake ambayo tumeshuhudia ikileta mafanikio

saya anafahamu fika ya kwamba baba yake anahitaji kuwa mfalme lakini tagon ameshindwa kudhihirisha malengo yake hadharani hivyo basi kwa kulifahamu hilo saya ameamua kuja na mikakati yake mwenyewe ya kumweka juu tagon pengine anaamini ya kwamba baada ya tagon kuondoka madarakani atakayerithi madaraka ni yeye.

saya hafahamu kama ana ndugu ndio maana hana muda wa kumwaza eunseom hivyo hivyo kwa wazazi wake waliomzaa, kwenye fikra zake tagon ndiye baba yake mzazi.

saya na tanya wote wanafanana kwa jambo moja nalo ni vifo vya wapenzi wao japokuwa eunseom hajafa lakini tanya anaamini eunseom ameshafariki, huenda saya ameanza kumpenda kweli tanya na sio tu kutaka kumtumia ili atimize dhamira yake.
 
nimecheka sana baada ya kushuhudia ujanja wa asa ron wa kumuingiza choo cha kike bwana tagon, mipango yote ameitengenza yeye ili kuwatia khofu wananchi waamini kurejea kwao neanthal ni kwa dhumuni la kulipa kisasi cha miaka 20 iliopita, mauaji yale yaliongozwa na tagon ambaye ndiye kiongozi mkuu wa makabila hivyo basi laana iliowakumba wananchi imesababishwa na kiongozi muuaji na ili kuiondoa laana hiyo bwana tagon anapaswa afanyiwe matambiko ya kuondoa kisasi na chuki, kwa kuwa matambiko yanaongozwa na ASA clan itapelekea bwana tagon kupiga magoti mbele ya viongozi wakuu wa kabila la ASA jambo ambalo litamshushia heshima bwana tagon.
  1. ataonekana na wananchi yeye siye aramun haesulla kama alivyojidai kwenye episode ya 6 wakati anamfanyia ibada ya kumuaga baba yake.
  2. pia uongozi wake utaonekana si lolote bila ya uwepo wa kabila la ASA.
cha kuchekesha zaidi kumbe wale neanthal wamerudi kweli ukiachana na huo mtego uliowekwa na asa ron niruha wakuonekana neanthal wamerudi.
pale unapomuingiza mwanamume mwenzio choo cha kike halafu anajitokeza mwanamme mwengine anakusukumizia na wewe kwa lazima choo cha kike.

mubaek + neanthal + white mountain tribe + tanya +eunseom = hii combination ikifanya kazi pamoja dunia nzima itatikisika
1148063
 
mpira ukikupita au kugonga net ndio seti 1?
aminas
Dooh!

Oky, Mpira ukigonga net Yule Aliupiga mpka ukagonga net Hapati Points yule Mpira Ulikokua unaenda Anachukua Points.

Sawa Na Mpira Ukikupita Yule Alieulisha Anachukua Points.

Baada Ya Izo Points Kufika 40 Kwa Mchezaji A na Mchezaji B Akawa na 30 au 15 Mchezaji A Anakua Ameshinda Iyo Game Na Inaesabika Kashinda Game 1 Akiendelea Kushinda Mpaka Game ya 6 Inakua Ameshinda Set 1 Itaendelea Ivyo na Ivyo Tena..

Lakini Ndani ya Huu Mchezo Kuna Kitu Kinaitwa Deuce, Breaking Point, Kuna Match Point Kuna In and Out Ivyi Bado Najifunza.
 
Back
Top Bottom