Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

dakika 3 zilizopita nimeikuta soompi:

Channel A Reports Details Of Song Joong Ki And Song Hye Kyo’s Divorce

According to Channel A, Song Joong Ki filed for divorce without notifying Song Hye Kyo.

The report stated that Song Joong Ki submitted the divorce settlement to the Seoul Family Court on June 26 and informed Song Hye Kyo of the matter through a public press release delivered by his legal representative on July 27.

Song Joong Ki reportedly chose to file for divorce (after the two mutually agreed to get a divorce) in order to conclude the divorce process in a smooth and swift manner.

A source from Song Joong Ki’s side stated, “[Song Joong’s decision] was intended to warn Song Hye Kyo that he can reveal everything if she spreads lies about their marriage or the reason for their divorce.”

Channel A also revealed that Song Joong Ki is considering completing the divorce process in a speedy manner without asking Song Hye Kyo for alimony.

The Seoul Family Court is expected to begin the divorce mediation procedure for Song Joong Ki and Song Hye Kyo in about a month, and the divorce process is expected to be completed in August, given that there are no disagreements from the couple.

jamani ahjummaaa amechepuka?
jamani ahjumma hana nguvu za kike?
jamani ahjumma bado anampenda hyun bin na lee byung hun?
jamani ahjumma vipiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
au aliyekimbilia mahakamani ndio mwenye makosa?

View attachment 1141891
Hye kyo ndo atakua na shida nahis sio bure.mbona umri umemtupa alaf analeta utoto.
 
Huo ukatili una mwisho wake.

Nataka niendelee na Deep root je story yake inaukweli?! Au imefiksiwa!.
Among of drama Jung hyuk ameigiza utam hiyo nayo ni moja wapo apart from shine or go crazy na chuno(slave Hunter)ushauri wng itazame tuu.
Story yake inaukweli ts not complete fiction km sikosei.
Hutojutia kupoteza mda wako.
NB.nina mahaba na huyo jamaa kiasi kwamba ata aigize anacheka mwanzo mwisho ts ok with me yaaan hoi bin kumwelewa
 
Wapendwa msaada wenu!siangaligi ongoing series ata siku moja lakn hi arthadal chronicle imenishinda kusubiri.......yaaaaan uvumilivu umegoma kabsaaa.sasa Basi nakuitazama kote mpk episode ya 8 bado nimetoka kapa kwa kiasi kikubwa naombeni mnifungue macho vzuri niianze upya au nitaielewa mbele kwa mbele!?
 
kama angelikuwa mdau mwengine kutoka kolomijee ningelimwambia arudi kurasa za nyuma mpaka aione comment yangu.

kwanza ufahamu arthdal chronicles drama imegawanyika part 3 na kila part imebeba ep 6.
production ya hii drama wameamua kwanza kuonyesha part mbili za mwanzoni baadae wataonyesha part 3 pindi itakapomalizika hotel de luna drama hivyo basi part 2 itamaliza wiki ijayo ambayo itakuwa ni episode ya 12.

part 1 imepewa Jina la the child of prophecy:
hadithi yake ilianza kama simulizi na aliyekuwa akihadithia ni general mubaek ambapo palikuwepo jamii mbili za binadamu ambazo ni saram (binadamu wa kawaida kama mimi na wewe) pamoja na jamii ya neanthal.

hawa neanthal wanataka kufananana na jamii fulani ya binadamu iliokuwepo zamani sana na walipewa jina la Neanderthal species kama nipo sahihi.
inavyosemekana jamii ya neanderthal ilipotea hapa dunia kwa sababu ya maradhi lakini ukija kwenye drama jamii ya neanthal kizazi chake kilipotea baada ya kuvamiwa na jamii ya saram.

neanthal species walikuwa na sifa kuu zifuatazo
  • walikuwa na uwezo wa kufahamu kitakachotokezea mbeleni kupitia ndoto walizokuwa wanaota.
  • walikuwa na nguvu kiasi ambacho hawakuamini ishu za mabadiliko ya mfumo wa maisha (civilization) ndio maana wale watu wa saram walipotaka waungane walikataa, waliamini nguvu zao ni silaha tosha kuliko mabadiliko ya teknolojia kutoka kutumia mawe, mpaka kudevelop silaha kama mapanga, visu.
  • walikuwa na uwezo wa kuona hata kama wapo gizani.
ndio maana ragaz wakati anauliwa mwanzoni mwa drama hii aliwaambia watu wanaounda taifa la arthdal maneno yafuatayo
"jana usiku nimeota kabila lenu litateketea hapo mbeleni na mutatoana uhai wenu wenyewe kwa wenyewe"

saram
walikuwa ni jamii ya watu ambao walikuwa wanaendana na mabadiliko ya kimfumo wa maisha, walikuwa wameshaanza kulima, walikuwa wanaishi sehemu husika (hawahami ovyo), wanafanya biashara n.k
kwa ufupi ukiangalia arthdal chronicles drama hadithi yake imeanza nyakati za:
  1. paleothilic age (zama za mawe): watu wanaotoka kabila la wahan walikuwa wanatumia zana zilizotengenezwa kwa mawe ndio maana walikuwa wanawashangaa wale wavamiaji kutoka ardhi ya arthdal, kabila la wahan ndiko anakotokea mwanadada Tanya ambao kwa sasa wameshikiliwa mateka ndani ya ardhi ya arthdal baada ya kuvamiwa kwenye ardhi yao.
  2. Neolithic age (jamii ya watu waliaonza kujishughulisha na kilimo pamoja na kuishi sehemu husika bila ya kuhama hama): Aramun haesullla ndiye muanzilishi wa taifa la arthdal na ndiye aliyeunganisha makabila yakawa nchi moja, watu wa arthdal walikuwa wanalima na vile vile walikuwa na makaazi ya uhakika
  3. metal age (zama za chuma, watu kutoka arthdal ndio pekee waliokuwa wakitumia silaha za vyuma)
mwanamama asahon kutoka jamii ya saram (binadamu wa kawaida wenye damu nyekundu) alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na ragaz ambaye alitokea jamii ya neanthal (binadamu wenye damu ya zambarau).

wawili hao usiku ulioanguka comet walibahatika kupata watoto wawili mapacha ambao ni eunseom na sanya, siku hiyo hiyo upande wa kabila la wahan alizaliwa mtoto wa kike aliyepewa jina la tanya.
  • kabila la wahan waliamini mtoto aliyezaliwa siku hiyo atakuwa na baraka lakini kwa upande wa ardhi ya arthdal waliamini mtoto atakayezaliwa siku hiyo atakuwa na laana.
  • mwanadamu aliyezaliwa na wazazi wawili wenye utofauti waliitwa igutu au kwa lugha nyengine ni machotara, hivyo basi eunseom, sanya na tagon ni igutu lakini tagon ameficha kama yeye mzazi wake mmoja ni kutoka jamii ya neanthal.
  • siku ambayo jamii ya arthdal walipoivamia jamii ya neanthal mwanamama asahon alifanikiwa kukimbia na mtoto wake mmoja tu ambaye ni eunseom na mtoto mwengine alibebwa na tagon ambaye ndiye sanya.
  • sanya anamwita tagon baba lakini ukweli ni kwamba ragaz ndiye baba yake sanya na eunseom, sijui kitatokezea kitu gani siku ambayo sanya atakapofahamu mauaji ya baba yake mzazi yaliongozwa na tagon.
  • tagon tokea udogoni kwake alishaonyesha dalili za kuwa na uchu wa madaraka vile vile alikuwa si muumini wa imani ya kumuabudu aramun haesulla ndio maana si ajabu kwa sasa tokea apewe cheo cha kuwa mkuu wa ardhi ya arhdal amekuwa akienda kinyume na misingi ilioasisiwa na aramun haesulla
story of child prophecy tuishie hapa nisikuchoshe
 
Ku

Ahahahahaaaa asante Sana,apa nimeelewa mpk nimeelewa tena.nashukuru maana nilikua nimetoka kapa,kwann huyu twin wa Sanya ni weak na uku hawa igutu wanaonekana strong mbaya.

Sikujua km mubaek ndo alikua anahadithia.af Mubaek imekuaje amemsaidia Sanya ambaye ni igutu na huku mwanzo alikua anamtafta kwa udi na uvumba!?
Naomba nianze upya tena.
 
Kim Soo Hyun Discharged From Military; Talks About Upcoming Plans + More

On July 1, after successfully completing his mandatory military service and being discharged from the first Reconnaissance Battalion, Kim Soo Hyun greeted a large crowd of approximately 70 reporters and over 300 fans in front of the Imjingak Peace Bell in Paju.

The actor first expressed his gratitude for the warm welcome, remarking, “Thank you for coming all this way to see me.” He also told his fans, “Thank you so much for waiting for me.”
View attachment 1144155
When asked to share how he felt about his discharge, Kim Soo Hyun replied,
“From early this morning, when I was preparing for my discharge, up until now, it still hasn’t quite kicked in [that I’m leaving the army]. I feel somewhat liberated.”

Kim Soo Hyun also spoke fondly of his experience in the military. “I was initially worried because I was joining the army at a slightly older age than others,” he shared, “but I think that I absolutely made the right decision in joining the first Reconnaissance Battalion.”

He continued, “While I was in the military, I trained hard just like any other soldier, and I was even awarded the title of ‘Special Class Soldier.'” He added with a smile, “I worked hard and did my very best.”

As for his future plans, Kim Soo Hyun remarked, “I thought a lot and worried about many things during my time in the military, but right now, I really want to act. Nothing has been decided yet in terms of projects, but I think I’ll be working hard and greeting you through new projects starting around next year or so.”
View attachment 1144151
Hongera kwake..... Nasubiri project zake kwa ham zote.nilimwelewa Sana kwenye a man from another star and the moon that embarraces the sun.
Huyu na Lee min ho na mzee wa K2 wanayafurahishaga sana macho yangu.
 
Sikujua km mubaek ndo alikua anahadithia.af Mubaek imekuaje amemsaidia Sanya ambaye ni igutu na huku mwanzo alikua anamtafta kwa udi na uvumba!?
Naomba nianze upya tena.
aigoooo hii sentensi yako umechanganya mchanga wa kawaida pamoja na mchanga wa makinikia unaoendelea kuleta msuguano kati ya beberu mweusi na beberu mweupe.

mubaek anamtafuta eunseom na si sanya kama ulivyoandika hapo juu, Sanya (ana nywele ndefu kama msichana wa kihindi) amekulia maisha ya mboga saba huku eunseom (lofa kutoka kolomije) amekulia maisaha ya dola moja kwa siku.

Aramun haesulla kizazi chake kimefikia mpaka maeneo ya Iark linakopatikana kabila la wahan anakotokea tanya ndio maana kabila la wahan pamoja na makabila wanaounda taifa la arthdal wanazungumza lugha moja, hata siku waliovamia ardhi ya Iark wanajeshi wa arthdal walishangaa kuona kabila la wahan wanazungumza lugha yao,
ushahidi mwengine umegundulikana ya kwamba mwanadada Tanya anatokana na kizazi cha bibi mbweha (asa sin jina lake kama nipo sahihi ambaye alikuwepo kwenye ardhi ya iark miaka 200 iliopita).

vugu vugu la wiki hii kwa mujibu wa uvumi imeonakanwa ya kwamba yule muhubiri mkuu wa dini (mzee asa ron) damu yake haijatokana na bibi mbweha( the Great mother White Wolf ) hivyo basi tagon kwa kuwa dhumuni lake ni kumuangusha yule mzee kuna uwezekano wa kutaka kumtumia Tanya ili abebe yale madaraka ya kuwa muhubiri mkuu kwa sababu tanya ni uzao halali wa bibi asa sin bila ya kusahau Tanya na yeye tayari ana mipango ya kutafuta nguvu ndio maana ameamua kumtumia sanya.

kwa nini mubaek anamtafuta eunseom haliyakuwa mwanzoni alikuwa anamwinda ili amuue?
  1. ameshafahamu ya kwamba eunseom ni mtoto wa mwanadada asa hon
  2. eunseom ndiye mwenye kufahamu ni yupi muuaji wa ukweli wa sanung nirang (baba yake tagon)
  3. eunseom anafahamu siri ya tagon(mwanzoni mwa part 2 tuliona asili ya tagon kuwa ni igutu lakini ameficha siri mpaka muda huu)
  4. ana dalili za kuwa aramun haesulla mpya, namaanisha ya kwamba eunseom ndiye reincarnation ya aramun haesulla ambaye ndiye muanzilishi wa nchi ya arthdal.
inasemekana aramun haesulla atakuja kwa sauti mbili ya kike na kiume:
kike = tanya
kiume = eunseom
na inasemekana aramun haesulla pia alikuwa ni igutu na huenda episode zijazo tagon atataka kuwadhihirishia watu ya kwamba yeye ndiye reincarnation yenyewe ya aramun haesulla kwa sababu na yeye pia ni igutu.

si hivyo tu aramun haesulla ana dalili nyengine zifuatazo:
Ionicera flower, The Hammer of Wind na farasi wa Kanmoreu.

farasi wa kanmoreu mpaka muda huu aliyewahi kumuendesha ni eunseom peke yake siku aliyofukuzwa na mubaek kwenye episode 2 na hata mubaek akawa anashangaa kwa nini kila nikiongeza kasi anashindwa kumfikia yule farasi wa eunseom akawa anajiuliza
inawezekana yule farasi ni kanmoreu?
na kama ni kanmoreu je yule aliyemwendesha ni aramun haesulla mpya kwa sababu farasi wa kanmoreu wameshatoweka kizazi chao.

si hivyo tu moja kati ya sifa ya farasi wa kanmoreu wana uwezo wa kuwavuta farasi wengineo, yaani kama farasi wa kanmoreu anaishi chato basi wale farasi wanaoishi kwa walima korosho watamfuta kanmoreu kwa lazima na hilo tumelishuhudia kwenye episode 3.

1145655

episode 9 na 10 usiniulize maswali sijapata muda wa kuziangalia kwa umakini:p:p:p
arthdal chronicles kama hujavuta bangi wakati unaifuatilia huwezi kuambulia chochote

Aramun Haesulla: God of Harmony and Unification who brings Arthdal together.
 
Jamani baada ya kumali Dae je yeong ....wale magwiji naombeni series nyingine ya porini aina kama hii maana utamu wake hauelezeki ...msaada please ulevi umekolea
  1. emperor wang gun drama : episode 200
  2. age of warriors drama : episode 158
  3. admiral yi soon shin drama: episode 134
  4. jang hee bin drama 2002: episode 100
  5. gwanggaeto the great : ep 92
  6. emperor of the sea drama : episode 51
  7. jumong drama :episode 81
  8. jing birok the memoir of imjin war : episode 51
  9. jung do jeon drama : episode 50
  10. sejong the great drama : episode 83
  11. kings dream :episode 70
  12. jewel in the palace :episode 54
  13. Empress Myeongseong : episode 124
  14. yi san : ep 77
  15. god of war : ep 56
  16. nibakishie na mimi ulevi
endelea kunywa mpaka watengenezaji ulevi pendwa waishiwe malighafi​
 
Mkuu asante ubarikiwe ngoja nianze na god of war au gwaenggaeto the great ipi itakuwa ulevi mtamu wakuanza nao!!
 
aigoooo hii sentensi yako umechanganya mchanga wa kawaida pamoja na mchanga wa makinikia unaoendelea kuleta msuguano kati ya beberu mweusi na beberu mweupe.

mubaek anamtafuta eunseom na si sanya kama ulivyoandika hapo juu, Sanya (ana nywele ndefu kama msichana wa kihindi) amekulia maisha ya mboga saba huku eunseom (lofa kutoka kolomije) amekulia maisaha ya dola moja kwa siku.

Aramun haesulla kizazi chake kimefikia mpaka maeneo ya Iark linakopatikana kabila la wahan anakotokea tanya ndio maana kabila la wahan pamoja na makabila wanaounda taifa la arthdal wanazungumza lugha moja, hata siku waliovamia ardhi ya Iark wanajeshi wa arthdal walishangaa kuona kabila la wahan wanazungumza lugha yao,
ushahidi mwengine umegundulikana ya kwamba mwanadada Tanya anatokana na kizazi cha bibi mbweha (asa sin jina lake kama nipo sahihi ambaye alikuwepo kwenye ardhi ya iark miaka 200 iliopita).

vugu vugu la wiki hii kwa mujibu wa uvumi imeonakanwa ya kwamba yule muhubiri mkuu wa dini (mzee asa ron) damu yake haijatokana na bibi mbweha( the Great mother White Wolf ) hivyo basi tagon kwa kuwa dhumuni lake ni kumuangusha yule mzee kuna uwezekano wa kutaka kumtumia Tanya ili abebe yale madaraka ya kuwa muhubiri mkuu kwa sababu tanya ni uzao halali wa bibi asa sin bila ya kusahau Tanya na yeye tayari ana mipango ya kutafuta nguvu ndio maana ameamua kumtumia sanya.

kwa nini mubaek anamtafuta eunseom haliyakuwa mwanzoni alikuwa anamwinda ili amuue?
  1. ameshafahamu ya kwamba eunseom ni mtoto wa mwanadada asa hon
  2. eunseom ndiye mwenye kufahamu ni yupi muuaji wa ukweli wa sanung nirang (baba yake tagon)
  3. eunseom anafahamu siri ya tagon(mwanzoni mwa part 2 tuliona asili ya tagon kuwa ni igutu lakini ameficha siri mpaka muda huu)
  4. ana dalili za kuwa aramun haesulla mpya, namaanisha ya kwamba eunseom ndiye reincarnation ya aramun haesulla ambaye ndiye muanzilishi wa nchi ya arthdal.
inasemekana aramun haesulla atakuja kwa sauti mbili ya kike na kiume:
kike = tanya
kiume = eunseom
na inasemekana aramun haesulla pia alikuwa ni igutu na huenda episode zijazo tagon atataka kuwadhihirishia watu ya kwamba yeye ndiye reincarnation yenyewe ya aramun haesulla kwa sababu na yeye pia ni igutu.

si hivyo tu aramun haesulla ana dalili nyengine zifuatazo:
Ionicera flower, The Hammer of Wind na farasi wa Kanmoreu.

farasi wa kanmoreu mpaka muda huu aliyewahi kumuendesha ni eunseom peke yake siku aliyofukuzwa na mubaek kwenye episode 2 na hata mubaek akawa anashangaa kwa nini kila nikiongeza kasi anashindwa kumfikia yule farasi wa eunseom akawa anajiuliza
inawezekana yule farasi ni kanmoreu?
na kama ni kanmoreu je yule aliyemwendesha ni aramun haesulla mpya kwa sababu farasi wa kanmoreu wameshatoweka kizazi chao.

si hivyo tu moja kati ya sifa ya farasi wa kanmoreu wana uwezo wa kuwavuta farasi wengineo, yaani kama farasi wa kanmoreu anaishi chato basi wale farasi wanaoishi kwa walima korosho watamfuta kanmoreu kwa lazima na hilo tumelishuhudia kwenye episode 3.

View attachment 1145655

episode 9 na 10 usiniulize maswali sijapata muda wa kuziangalia kwa umakini:p:p:p
arthdal chronicles kama hujavuta bangi wakati unaifuatilia huwezi kuambulia chochote

Aramun Haesulla: God of Harmony and Unification who brings Arthdal together.
Nywele ndefu kama Bint wa Kihindi 😂😂
 
mwendawazimu gwanggaeto atakufaa zaidi
Nimetoka Kuiangalia One Spring Night Muda Huu Episode ya Leo Yaani! Nikatamani Kama Nami Niingie Kwenye Screen....(Kivipi Sijui)

Ila episode ya leo Ni Balaa....

Ndugu yako Gi-Seok Naona Agekua tanzania angepewa Kabila la Wasukuma, kaka Mbishi Yule,Kaka Hakubari Kushindwa Yaani...

Nimempenda leo Jae In Ameujua Ubaya Wa Shemeji Yake,Na Kulifukuza Lile Li..... Nyumban kwa Dada yake...(Apa Choz kidogo Limenitoka 😒)

Ukweli Episode ya Leo Imekua Tamuu
 
Ndio nimeanza kuiangalia lakini summary nakuja kuifanyia kwenye maelezo yako
 
Nimetoka Kuiangalia One Spring Night Muda Huu Episode ya Leo Yaani! Nikatamani Kama Nami Niingie Kwenye Screen....(Kivipi Sijui)

Ila episode ya leo Ni Balaa....

Ndugu yako Gi-Seok Naona Agekua tanzania angepewa Kabila la Wasukuma, kaka Mbishi Yule,Kaka Hakubari Kushindwa Yaani...

Nimempenda leo Jae In Ameujua Ubaya Wa Shemeji Yake,Na Kulifukuza Lile Li..... Nyumban kwa Dada yake...(Apa Choz kidogo Limenitoka 😒)

Ukweli Episode ya Leo Imekua Tamuu
umeangalia bila ya subtitle au imewekwa mapema?
 
Back
Top Bottom