Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kazz0

Kazz0

Member
Joined
Mar 15, 2015
Messages
48
Points
95
Kazz0

Kazz0

Member
Joined Mar 15, 2015
48 95
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.

Tuambiane;

- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?

- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')

-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?

Pia:

- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?

- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?

- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?

- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)

*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!

Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!

=========

Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;

Be Strong Geum Soon

Princess Ja Myung Go

THREE DAYS (2014)

Swallow the Sun

Jumong

King Guenchoggo

=====

Links za ku-download drama za Kikorea;

- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net

======

Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread)
..

Kazi kwako.. Enjoy!
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,050
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,050 2,000
aminas bado hujazizowea tabia zangu za kijinga jinga, usiniambie ya kwamba tokea juzi hujapata usingizi kwa kumuwaza huyu mpumbavu aliyetolewa kwenye mavumbi ya umasikini pale harvard university.

JF na sehemu nyenginezo mara nyingi ukimuona mdau ameanzisha thread au hadithi yoyote inayozungumzia kuacha kwake kufanya jambo fulani ambalo amelizowea kulifanya mara kwa mara tafadhali usimuamini hata kama aliyeanzisha thread hiyo ni mzee wako.

mara nyingi mtu huyo hutafuta njia zinazotumiwa na wenzake kuweza kuachana na jambo hilo au anatafuta nguvu ya umaarufu.
 • nimeacha kunywa pombe kwa wiki moja (ebwana wee hujaacha ila umepumzika pengine kwa ugonjwa au vyuma vimekaza)
 • nimeacha kula dagaa (ebwana wee usitudanganye hujaacha ila tu kipato pengine kimeongezeka ndio umeamua kubadilisha menu, pindi kipato kikishuka tena utakula dagaa wa kukausha kama paka nyau)
 • nimeacha kuosha minara yangu ya simu (ebwana wee au bibi weee hujaacha kuosha mnara wako usitudanganye mchana kweupe bali umepumzika tu kwa muda:D:D:D).
 • pindi mwanadamu anapoamua kuacha kufanya jambo alilolizoea hatangazi hadharani bali huchukua maamuzi yake bila ya mwengine kufahamu.
 • hivi ulipochukua likizo mwezi wa ramadhani ulikuja ukatangaza humu ndani
 • khantwe ahjumma mtarajiwa alipokimbia jf kwa muda usiojulikana mpaka tukadhani amekutana na wachinjani wa joseon dynasty sidhani kama alitangaza humu ndani.
 • empty dongsaeng mara ya mwisho kuonekana ni january 1/2019 au alikupa taarifa?
 • hivyo hivyo kwa mwanadada nifah alipotea jf mpaka wadau wakadhani amekwenda mitaa ya songdo kumtafuta jumong wake aliyemuona ndotoni.
 • prishaz alipoamua kujiweka bize na wakorea hakutangaza hadharani, alisepa kama mzimu wa korosho
hivyo basi naomba ufahamu mjinga wewe itakapofika siku nitakayoamua kuachana na kazi yangu ya kuwa muhadhiri wa harvard university sitotangaza humu ndani, nitangaze kwa sababu gani kwani kuna mdau anayenilipa mshahara wake humu ndani?

nitakwenda nyumbani kwetu kulikojaa mavumbi ya makaa kimya kimya huku nikisubiri teuzi ya bwana too much know from kolomijeee, hata akiniita fala, lofa sitojali najua mwisho wa mwezi maumivu ya kuitwa oili chafu yanaondoka kwa salary slip

jamii forums hainipunguzii riziki zangu za kila siku hata nikimbie
wakorea wala hawanipunguzii riziki zangu za kila siku,cha ajabu kila ninapowafuatilia ndio nazidi kuchanua kama asumini za mpemba.
nawafuatilia wakorea kama mwanadamu mwenye kichaa cha mbwa na matokeo yangu namshukuru mungu hayajawahi kuwa mabaya.
sentensi ya mwisho nimekuwekea mtego kama kawaida yangu (najua utaanzisha quiz za kilofa)
ni mimi mtangazaji wako daemusin bin makinikiyya bin koroshow bin pumbavu bin masikini bin vumbi la kongo bin udsm bin noah bin vipigo kwa mashangazi zenu bin goodwill kishika uchumba bin millioni 300 dollarinho bin makontena bin IST.
om mani padme hum
View attachment 1124956

Jana Bana Nimemalizia Episode Za Wikend Hii Za Arthdal Chronicles, Daemusin Kaiangalie Kama Hujaangalia Bado.. Ili Nifanya Nikastuc Kwanzaa Mpaka Ilipoisha Ndo Nikaanza Kuwaza Mengine...

Nilijua Tvn Hawawezi Tuangusha Kiasi Hicho
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,050
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,050 2,000
Great Conqueror hayo mapicha yako uliotuwekea hapo juu kama tupo ukumbi wa show za muziki ingelipendeza zaidi kama ungelituwekea picha zao wakati wanapoamka asubuhi (bila ya makeup).
hizi makeup nimepewa taarifa zina uwezo wa kumfanya mbuzi sura yake ibadilike na iwe nzuri kuliko sura ya tembo (ndovu).
We Zinakukera Nini!? Picha Walizotoka Kuamka Atazipata Wapi!?

Usimpe Tabu Bure Great Conqueror Wa Kaskazini
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,050
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,050 2,000
Great Conqueror hayo mapicha yako uliotuwekea hapo juu kama tupo ukumbi wa show za muziki ingelipendeza zaidi kama ungelituwekea picha zao wakati wanapoamka asubuhi (bila ya makeup).
hizi makeup nimepewa taarifa zina uwezo wa kumfanya mbuzi sura yake ibadilike na iwe nzuri kuliko sura ya tembo (ndovu).
Ila Suho Ndivyo Alivyo
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
5,669
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
5,669 2,000
Matokeo Yatakuaje Mabaya Genius Wewe Hm!
you are the genius from kolomije
hivi nimepatia kwa kiingilishi, unajua hata siku niliyokwenda namibia nilitumia kiswanglishi.
sipendi upumbavu sijawahi kusikia lugha ya kigeni kuleta maendeleo ndani ya nchi husika.
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,050
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,050 2,000
wakojani ni miongoni mwa watu wabishi duniani kuwahi kutokezea, natamani siku moja nifike kisiwa hicho nipate kuyashuhudia mandhari yake na jinsi gani wanavyoishi.

hao watu kwa ubishi wao kuna siku walinunua polo ( viroba vya kg 50) tatu za sukari wakazimimina kwenye kisima, kisa na mkasa walikuwa wanabishana kama ikiwa watatia sukari kwenye kisima ladha ya maji itabadilika au haitobadilika?

kuna siku walichezaji mechi wakafungwa mpira ukawa haujagusa wavu, ebwana weeee unaambiwa walitembeza bakora uwanja mzima.. wakojani wakitembea lazima wawe na visu na mikia ya samaki TAA.

mkia wake ni bora upigwe bakora 10 na mwalimu wa madrassa kuliko mkia wa taa mmoja tu.

vipi nikuhadithie na kituko chengine?
lakini utabidi unilipe nimechoka kuwa story teller nisiyelipwa chochote.
View attachment 1124968
Ntakulipa tuma namba yako ya Ac na useme Kiasi.
 
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Messages
38,405
Points
2,000
Khantwe

Khantwe

JF-Expert Member
Joined Dec 20, 2012
38,405 2,000
aminas bado hujazizowea tabia zangu za kijinga jinga, usiniambie ya kwamba tokea juzi hujapata usingizi kwa kumuwaza huyu mpumbavu aliyetolewa kwenye mavumbi ya umasikini pale harvard university.

JF na sehemu nyenginezo mara nyingi ukimuona mdau ameanzisha thread au hadithi yoyote inayozungumzia kuacha kwake kufanya jambo fulani ambalo amelizowea kulifanya mara kwa mara tafadhali usimuamini hata kama aliyeanzisha thread hiyo ni mzee wako.

mara nyingi mtu huyo hutafuta njia zinazotumiwa na wenzake kuweza kuachana na jambo hilo au anatafuta nguvu ya umaarufu.
 • nimeacha kunywa pombe kwa wiki moja (ebwana wee hujaacha ila umepumzika pengine kwa ugonjwa au vyuma vimekaza)
 • nimeacha kula dagaa (ebwana wee usitudanganye hujaacha ila tu kipato pengine kimeongezeka ndio umeamua kubadilisha menu, pindi kipato kikishuka tena utakula dagaa wa kukausha kama paka nyau)
 • nimeacha kuosha minara yangu ya simu (ebwana wee au bibi weee hujaacha kuosha mnara wako usitudanganye mchana kweupe bali umepumzika tu kwa muda:D:D:D).
 • pindi mwanadamu anapoamua kuacha kufanya jambo alilolizoea hatangazi hadharani bali huchukua maamuzi yake bila ya mwengine kufahamu.
 • hivi ulipochukua likizo mwezi wa ramadhani ulikuja ukatangaza humu ndani
 • Khantwe ahjumma mtarajiwa alipokimbia jf kwa muda usiojulikana mpaka tukadhani amekutana na wachinjani wa joseon dynasty sidhani kama alitangaza humu ndani.
 • EMPTY dongsaeng mara ya mwisho kuonekana ni january 1/2019 au alikupa taarifa?
 • hivyo hivyo kwa mwanadada Nifah alipotea jf mpaka wadau wakadhani amekwenda mitaa ya songdo kumtafuta jumong wake aliyemuona ndotoni.
 • Prishaz alipoamua kujiweka bize na wakorea hakutangaza hadharani, alisepa kama mzimu wa korosho ulivyoondoka na kichwa cha mpuuzi
hivyo basi naomba ufahamu mjinga wewe itakapofika siku nitakayoamua kuachana na kazi yangu ya kuwa muhadhiri wa harvard university sitotangaza humu ndani, nitangaze kwa sababu gani kwani kuna mdau anayenilipa mshahara wake humu ndani?

nitakwenda nyumbani kwetu kulikojaa mavumbi ya makaa kimya kimya huku nikisubiri teuzi ya bwana too much know from kolomijeee, hata akiniita fala, lofa, baradhuli sitojali najua mwisho wa mwezi maumivu ya kuitwa oili chafu pia yanaondoka kwa salary slip

jamii forums hainipunguzii riziki zangu za kila siku hata nikimbie
wakorea wala hawanipunguzii riziki zangu za kila siku,cha ajabu kila ninapowafuatilia ndio nazidi kuchanua kama asumini za mpemba.
nawafuatilia wakorea kama mwanadamu mwenye kichaa cha mbwa na matokeo yangu namshukuru mungu hayajawahi kuwa mabaya.
sentensi ya mwisho nimekuwekea mtego kama kawaida yangu (najua utaanzisha quiz za kilofa)
ni mimi mtangazaji wako daemusin bin makinikiyya bin koroshow bin pumbavu bin masikini bin vumbi la kongo bin udsm bin noah bin vipigo kwa mashangazi zenu bin goodwill kishika uchumba bin millioni 300 dollarinho bin makontena bin IST.
om mani padme hum
View attachment 1124956

Haha wewe utapimwa mkojo walah
 
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
324
Points
500
Great Conqueror

Great Conqueror

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
324 500
Great Conqueror hayo mapicha yako uliotuwekea hapo juu kama tupo ukumbi wa show za muziki ingelipendeza zaidi kama ungelituwekea picha zao wakati wanapoamka asubuhi (bila ya makeup).
hizi makeup nimepewa taarifa zina uwezo wa kumfanya mbuzi sura yake ibadilike na iwe nzuri kuliko sura ya tembo (ndovu).
😂😂 Vijana wenu huko kwenu Seoul. Sisi kwetu Gogryeo hakuna mambo ya kujiremba muda wowote unaweza ukaitwa uende Yodongseong kwenye Vita.
 
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
906
Points
1,000
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
906 1,000
unaweza kukuta nusu yao wamefanya upasuaji (plastic surgery).
kuna eneo fulani linaitwa gangnam kumejaa vituo vya kufanyia upasuaji wa maumbile.
Daaaah Hadi wanaume wanarekebisha muonekano.basi hatari sana
 
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2016
Messages
906
Points
1,000
scalethat

scalethat

JF-Expert Member
Joined Oct 7, 2016
906 1,000
Unadhani haya mambo Pyongyang(kwa Kiduku) yapo?!
Ni huko Seoul(kwa Moon jae in)
Hahaha kwa kiduku nasikia hata maigizo hayaruhusiwi.celebrity na star ni yeye peke ake.
Juzi katika kusoma soma kuna sehemu nilikuta eti ukikamatwa unaangalia tamthilia za mataifa mengne kifo kinakuhusu.sijui ni kweli ama anachafuliwa tu
 
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2015
Messages
5,669
Points
2,000
Daemusin

Daemusin

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2015
5,669 2,000
arthdal chronicles drama ep 1
season 1: the child of prophecy

tuachane na habari za kijinga jinga za plagiarism kutoka game of throne series, hiyo series sijawahi na sitowahi kuiangalia kwa nyakati hizi nilizojiweka kwa mkorea, kwanza kiingilishi chenyewe sikijui

maswali yangu nimefanikiwa kuyapata majawabu yake baada ya kuifanyia repeatition episode 1.
ragaz kabla ya kifo chake alisema hivi: "jana usiku nimeota kabila lenu litateketea hapo mbeleni na mutatoana uhai wenu wenyewe kwa wenyewe"
1560324174530-png.1125169

neanthal species walikuwa na sifa kuu zifuatazo
 • walikuwa na uwezo wa kufahamu kitakachotokezea mbeleni kupitia ndoto walizokuwa wanaota.
 • walikuwa na nguvu kiasi ambacho hawakuamini ishu za mabadiliko ya mfumo wa maisha (civilization) ndio maana wale watu wa saram walipotaka waungane walikataa, waliamini nguvu zao ni silaha tosha kuliko mabadiliko ya teknolojia kutoka kutumia mawe, kutengeneza moto mpaka kudevelop silaha kama mapanga, visu.
 • walikuwa na uwezo wa kuona hata kama wapo gizani.
saram walikuwa ni jamii ya watu ambao walikuwa wanaendana na mabadiliko ya kimfumo wa maisha, walikuwa wameshaanza kulima, walikuwa wanaishi sehemu husika (hawahami ovyo), wanafanya biashara n.k
kwa ufupi ukiangalia arthdal chronicles drama hadithi yake imeanza nyakati za:
 1. paleothilic age (zama za mawe).
 2. Neolithic age (jamii ya watu waliaonza kujishughulisha na kilimo pamoja na kuishi sehemu husika bila ya kuhama hama)
 3. metal age (zama za chuma, watu kutoka arthdal ndio pekee waliokuwa wakitumia silaha za vyuma)
ukiwaangalia hawa watu wa jamii ya "Neanthal" wanataka kufanana simulizi yao na jamii ya species iliokuwemo nyakati za zamani waliokuwa wakijulikana kwa jina la Neanderthal, jamii hii ya species inasemekana ilipotea kwa sababu ya magonjwa lakini ndani ya hii drama jamii ya neanthal walipotea baada ya kuvamiwa na watu wa makabila wanaounda jamii ya arthdal.

mwanamama asahon ambaye ni homo sapiens (damu nyekundu) pamoja na ragaz ambaye ni neanthal(damu blue) inaonekana walikuwa ni wapenzi waliofanikiwa kupata watoto wawili kama itakuwa nipo sahihi, mtoto wao mmoja ndiye eonseom ambaye kwa mujibu wa tabiri atakuja kuleta majanga.

mtoto mwengine ambaye kama nipo sahihi ndio yule aliyechukuliwa na tagon (jang dong gun) ,au inawezekana ragaz alizaa na mwanamke mwengine lakini asahon akaona si vibaya kumlea. binadamu aliyezaliwa na wazazi mchanganyiko kati ya homo sapiens na neanthal aliitwa igutu kwa lugha ya sasa tuwaite machotara.
kwa hivyo eunseom (song joong ki) ni mtoto wa ragaz na mama yake ni asahon.
ollimsani: ibada maalumu ya kumuombea mwanadamu anayeelekea kwa muumba wake, kwa mujibu wa sheria zao Asa Clan ndio walipewa mamlaka ya kuongoza ibada hizi, tagon alivunja sheria hii baada ya kumuombea yule mwanajeshi aliyepigwa na ragaz (rejea ep 1).
1560326241091-png.1125204
 
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2015
Messages
3,050
Points
2,000
aminas

aminas

JF-Expert Member
Joined Jan 28, 2015
3,050 2,000
arthdal chronicles drama ep 1
season 1: the child of prophecy

tuachane na habari za kijinga jinga za plagiarism kutoka game of throne series, hiyo series sijawahi na sitowahi kuiangalia kwa nyakati hizi nilizojiweka kwa mkorea, kwanza kiingilishi chenyewe sikijui

maswali yangu nimefanikiwa kuyapata majawabu yake baada ya kuifanyia repeatition episode 1.
ragaz kabla ya kifo chake alisema hivi: "jana usiku nimeota kabila lenu litateketea hapo mbeleni na mutatoana uhai wenu wenyewe kwa wenyewe"
View attachment 1125169

neanthal species walikuwa na sifa kuu zifuatazo
 • walikuwa na uwezo wa kufahamu kitakachotokezea mbeleni kupitia ndoto walizokuwa wanaota.
 • walikuwa na nguvu kiasi ambacho hawakuamini ishu za mabadiliko ya mfumo wa maisha (civilization) ndio maana wale watu wa saram walipotaka waungane walikataa, waliamini nguvu zao ni silaha tosha kuliko mabadiliko ya teknolojia kutoka kutumia mawe, kutengeneza moto mpaka kudevelop silaha kama mapanga, visu.
 • walikuwa na uwezo wa kuona hata kama wapo gizani.
saram walikuwa ni jamii ya watu ambao walikuwa wanaendana na mabadiliko ya kimfumo wa maisha, walikuwa wameshaanza kulima, walikuwa wanaishi sehemu husika (hawahami ovyo), wanafanya biashara n.k
kwa ufupi ukiangalia arthdal chronicles drama hadithi yake imeanza nyakati za:
 1. paleothilic age (zama za mawe).
 2. Neolithic age (jamii ya watu waliaonza kujishughulisha na kilimo pamoja na kuishi sehemu husika bila ya kuhama hama)
 3. metal age (zama za chuma, watu kutoka arthdal ndio pekee waliokuwa wakitumia silaha za vyuma)
ukiwaangalia hawa watu wa jamii ya "Neanthal" wanataka kufanana simulizi yao na jamii ya species iliokuwemo nyakati za zamani waliokuwa wakijulikana kwa jina la Neanderthal, jamii hii ya species inasemekana ilipotea kwa sababu ya magonjwa lakini ndani ya hii drama jamii ya neanthal walipotea baada ya kuvamiwa na watu wa makabila wanaounda jamii ya arthdal.

mwanamama asahon ambaye ni homo sapiens (damu nyekundu) pamoja na ragaz ambaye ni neanthal(damu blue) inaonekana walikuwa ni wapenzi waliofanikiwa kupata watoto wawili kama itakuwa nipo sahihi, mtoto wao mmoja ndiye eonseom ambaye kwa mujibu wa tabiri atakuja kuleta majanga.

mtoto mwengine ambaye kama nipo sahihi ndio yule aliyechukuliwa na tagon (jang dong gun) ,au inawezekana ragaz alizaa na mwanamke mwengine lakini asahon akaona si vibaya kumlea. binadamu aliyezaliwa na wazazi mchanganyiko kati ya homo sapiens na neanthal aliitwa igutu kwa lugha ya sasa tuwaite machotara.
kwa hivyo eunseom (song joong ki) ni mtoto wa ragaz na mama yake ni asahon.
ollimsani: ibada maalumu ya kumuombea mwanadamu anayeelekea kwa muumba wake, kwa mujibu wa sheria zao Asa Clan ndio walipewa mamlaka ya kuongoza ibada hizi, tagon alivunja sheria hii baada ya kumuombea yule mwanajeshi aliyepigwa na ragaz (rejea ep 1).
View attachment 1125204
Genius Kwenye Ubora Wako
 
Forum statistics

Threads 1,315,498
Members 505,293
Posts 31,860,842
Top