Ya nawapenda hawa jamaa ''Casting Crowns''. Kuna Wimbo wao waitwa ''WHO AM I'' na mwingine unaitwa ''DOES ANY BODY HEAR HER'' nazipenda sana kwa kweli.
Huo wa kwanza unanifanyaga nijiulize maswali mengi sana kujihusu, huo wa pili unaleta picha flani nione bado tuna wajibu wa kufanya kitu mahali kwa ajili ya mtu fulani. Pia unatuasa kuendelea kupiga vita haka katabia ka kuhukumu hukumu ovyo.
Zisikilize kwa makini utazifurahia zaidi.
I am a flower quickly fading, here today and gone tomorrow, a wave tossed in the ocean, a vapour in the wind. Still you hear me when i'm calling, Lord you catch me when I'm falling, and you told me who i am..... dah umenifanya niusikilize tena huo wimbo wa who am i?