I am very fine my Brother Eli79 . Humbled to hear from you.
Aisee kweli unawajua hawa jamaa. Nawapenda sana. Kuna moja ya homecoming album waliimbia kule Israeli kwenye kabonde flani hivi, (kama uliwahi iona Jesse alikua kwenye peak yake na ule wimbo wa ''Gone'' akiwa amevaa suti kama ya blue hivi. utafute kama bado hujakutana nao, you will love him even more)
''LOVE CAN TURN THE WORLD'' by Gaithers
cc Ablessed, BAK, Mr Rocky, Ntuzu, KOKUTONA, Karucee, MTAZAMO, lara 1, 1st AID, EMT, everlenk
Daaah..huu wimbo naupenda vibaya saana nikiuckiliza huwa nafika mbinguni...
Upi mkuu?
Awesome God ipo yaAwesome God
Tized bro hujanitendea haki maana huu uitaji wako wa kunirudisha huku umekuwa mzito, kitu nachoweza kushudia mama watoto ndio alinitambulisha hawa jamaa na when you need to see the glory of God through singing then these brothers have passed by it, huwa najisikia mwenye amani ajabu kwa nyimbo zao. kuna hiyo clean kweli huwa najisikia hivyo kila nikiangalia.
Tized, hope uko fine...!
Umenikumbusha mbali sana, those guys are my favourate all time gospel singers....
Mark Lowry ni kama comedian hivi....wakiungana GVB na Ernie Haase & Signature Sound unajisikia kupaa...
Au Gaither aki mobilize The Homecoming Friends, The Hoppers, Jessi Dickson(RIP), Jack Haase(RIP) na wale wazee wa Blackwood Brothers..
Huyu dogo yupo juu mno anaimba vizuri sana
Wimbo huu umekuwa ndani yangu kwa muda mrefu sana:
1. Bwana uliyewaita watakatifu wako,
wawe mitume wachunga wachunge kundi lako.
Wanyonge na wenye hofu, wakawa mashujaa
Na wapole wa kunena, wasiwe kunyamaa.
2. Hata leo wawataka watakatifu wako,
Nawe wauliza tena ni nani aliyeko,
Atakaye nimtume afundishe vijana,
Nitayari Bwana wangu nitume mimi Bwana.
3. Nitume na mimi Bwana kama ulivyotumwa,
Habari za msamaha na dhambi kutubiwa,
Niwahubiri wakosa na waliopotea
Wokovu u kwake Bwana aliyewafilia.
3. Astahiliye hapana kutamka habari,
Lakini wewe waweza kutufanya tayari,
Neno lako tulijue tupe na Roho wako,
Hayatakuwa ya bure haya maneno yako.
Tuimbe pamoja tukimaanisha!
Ubarikiwe.
Safi sana tenzi nzuri sana hii ni ya kitume zaidi tumeitwa sote tumtumikie Mungu.Wimbo huu umekuwa ndani yangu kwa muda mrefu sana:
1. Bwana uliyewaita watakatifu wako,
wawe mitume wachunga wachunge kundi lako.
Wanyonge na wenye hofu, wakawa mashujaa
Na wapole wa kunena, wasiwe kunyamaa.
2. Hata leo wawataka watakatifu wako,
Nawe wauliza tena ni nani aliyeko,
Atakaye nimtume afundishe vijana,
Nitayari Bwana wangu nitume mimi Bwana.
3. Nitume na mimi Bwana kama ulivyotumwa,
Habari za msamaha na dhambi kutubiwa,
Niwahubiri wakosa na waliopotea
Wokovu u kwake Bwana aliyewafilia.
3. Astahiliye hapana kutamka habari,
Lakini wewe waweza kutufanya tayari,
Neno lako tulijue tupe na Roho wako,
Hayatakuwa ya bure haya maneno yako.
Tuimbe pamoja tukimaanisha!
Ubarikiwe.
Sikilkizeni hawa wanaitwa Casting crowns, nyimbooo zao zina ujumbe sana
Ohhh!!! Thank you Lord, Mimi everlenk jinsi nilivyo leo hii utukufu ni kwako, umenivusha na kunipigania katika mengi kama si wewe ningelikuwaje mimi? Asante Mungu upendo wako ni mkubwa kwangu nauona wema wako ukinizunguka kila sekunde, dakika na Saa, fadhili zako ni mpya kila asubuhi na hazikomi kwangu,umenitoa mbali sana aah Sitamaliza kutaja sifa zako........
Asante sana Pastor Tized kwa upako huu wa tofauti hasa mwanzo huu wa wiki na mwezi mpya, ubarikiwe na Jehova Yire.....
Daaah..huu wimbo naupenda vibaya saana nikiuckiliza huwa nafika mbinguni...