Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Nyimbo nyingi za injili leo, hazina tofauti na muziki wa kipagani au mashetani !
WAIMBAO KATIKA UTAKATIFU WAKO WAPI LEO?
 
Waimbao katika utakatifu waliweza kushusha uweza wa Mungu wa kuponya roho,nafsi,miili ya watu na kutoa pepo ! WAPO LEO?
 
Ibilisi mshenz; Ameweza kubadilisha tamaduni za uimbaji kanisani hata Katoliki kuruka na kucheza kuliko shetani mwenyewe
 
Waimbaji wengi wa injili duniani ni VIBAO vya kuelekeza wengine mbinguni wakati wao hawaendi !
MAISHA YAO NI USANII TU.
 
Hillsong wana kitu cha"still"na "ocean" nasikiliza wakati wote na Smith "broken heart do you want your healing siujui vizuri huo wimbo ila ni mzuri kinyama pia kuna yule dogo wa Brazil Jotta aliimba Sonda me Senyo au use me Lord na amazing grace nazo ni Kali sana#useful thread#
 
Kila wimbo una roho ndani yake, iwe ya Mungu au shetani.
TUJIULIZE NYIMBO ZA KIDUKU NA TAARABU YA YESU NK; ZINA MUNGU ?!
 
Za kiswahili nyingi sana hasa za misholi ni Kali sana zinakuweka kwenye uwepo ila Kuna wimbo mmoja wa Hulda bagheni kama sijakosea jina huwa unasikika Mara kadhaa praise power hasa asubuhi kabla ya veronica hajaanza story zake nautafuta YouTube na kwingine haupo na hajatoa hata CD kama Kuna mtu anao atupie hapa nyimbo au link ya nyimbo za huyo Dada wimbo umenitoka kidogo.
 
Kila wimbo una roho ndani yake, iwe ya Mungu au shetani.
TUJIULIZE NYIMBO ZA KIDUKU NA TAARABU YA YESU NK; ZINA MUNGU ?!
Mi nikipenda wimbo basi naanza kusikiliza mfano ule when Jesus say yes wa kina Michele naupenda mpka mwisho ila una kosolewa sana ila mi ni ujumbe na midundo nacheza sana basi hayo nawaachia wachambuzi.
 
Napenda sana kuwasikiliza hawa watu, nina matoleo yao mengi sana .. Akina Bill na Mkewe, Guy Penrod(siku hizi yuko peke yake), Stephen Hill (Wooow..RIP) Jesse Dickson, David Phelps, The Isaacks, Linda Randle, Ernie Haase + Signature Sound na Kuna Black mmoja hivi sikumbuki jina lake, mzee wa vituko Mark Lowry and so so many.

My Best Band.

Safi kijana... Gaither Vocal Band too..! Sichoki kusikiliza gospel music asee!!
 
Ya nawapenda hawa jamaa ''Casting Crowns''. Kuna Wimbo wao waitwa ''WHO AM I'' na mwingine unaitwa ''DOES ANY BODY HEAR HER'' nazipenda sana kwa kweli.

Huo wa kwanza unanifanyaga nijiulize maswali mengi sana kujihusu, huo wa pili unaleta picha flani nione bado tuna wajibu wa kufanya kitu mahali kwa ajili ya mtu fulani. Pia unatuasa kuendelea kupiga vita haka katabia ka kuhukumu hukumu ovyo.

Zisikilize kwa makini utazifurahia zaidi.

Sikilkizeni hawa wanaitwa Casting crowns, nyimbooo zao zina ujumbe sana
 
Ibilisi mshenz; Ameweza kubadilisha tamaduni za uimbaji kanisani hata Katoliki kuruka na kucheza kuliko shetani mwenyewe

kwani kuruka na kucheza kuna tatizo gani?
mbona biblia imeagiza hvyo.
 
Napenda sana kuwasikiliza hawa watu, nina matoleo yao mengi sana .. Akina Bill na Mkewe, Guy Penrod(siku hizi yuko peke yake), Stephen Hill (Wooow..RIP) Jesse Dickson, David Phelps, The Isaacks, Linda Randle, Ernie Haase + Signature Sound na Kuna Black mmoja hivi sikumbuki jina lake, mzee wa vituko Mark Lowry and so so many.


My Best Band.
Tized, hope uko fine...!
Umenikumbusha mbali sana, those guys are my favourate all time gospel singers....
Mark Lowry ni kama comedian hivi....wakiungana GVB na Ernie Haase & Signature Sound unajisikia kupaa...
Au Gaither aki mobilize The Homecoming Friends, The Hoppers, Jessi Dickson(RIP), Jack Haase(RIP) na wale wazee wa Blackwood Brothers..
 
Last edited by a moderator:
Kuna huyu bwana Andrae Crouch(RIP),alikufa tu mwezi uliopita nadhani alikuwa mtunzi mzuri saana, mwimbaji and muongoza kwaya mzuri saana, wimbo wake maarufu saana ni soon and very soon

Michael W Smith mchango wake kwenye gospel na wenyewe ni mkuwa saana, huu wimbo wake nzuri saana, hususani kwa waliokata tamaa

Israel Houghton na yeye mchango wake sio haba hata kidogo
 
Last edited by a moderator:
I am very fine my Brother Eli79 . Humbled to hear from you.

Aisee kweli unawajua hawa jamaa. Nawapenda sana. Kuna moja ya homecoming album waliimbia kule Israeli kwenye kabonde flani hivi, (kama uliwahi iona Jesse alikua kwenye peak yake na ule wimbo wa ''Gone'' akiwa amevaa suti kama ya blue hivi. utafute kama bado hujakutana nao, you will love him even more)

''LOVE CAN TURN THE WORLD'' by Gaithers

cc Ablessed, BAK, Mr Rocky, Ntuzu, KOKUTONA, Karucee, MTAZAMO, lara 1, 1st AID, EMT, everlenk
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom