Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Kwa wapenzi wa gospel karibuni

Big like mkuu
Tized, hope uko fine...!
Umenikumbusha mbali sana, those guys are my favourate all time gospel singers....
Mark Lowry ni kama comedian hivi....wakiungana GVB na Ernie Haase & Signature Sound unajisikia kupaa...
Au Gaither aki mobilize The Homecoming Friends, The Hoppers, Jessi Dickson(RIP), Jack Haase(RIP) na wale wazee wa Blackwood Brothers..
 
Last edited by a moderator:
Hillsong wana kitu cha"still"na "ocean" nasikiliza wakati wote na Smith "broken heart do you want your healing siujui vizuri huo wimbo ila ni mzuri kinyama pia kuna yule dogo wa Brazil Jotta aliimba Sonda me Senyo au use me Lord na amazing grace nazo ni Kali sana#useful thread#

Mkuu Jotta namkubali sana.....ndio maana hizi kelele nyingine ni ngumu kusikiliza
 
I am very fine my Brother Eli79 . Humbled to hear from you.

Aisee kweli unawajua hawa jamaa. Nawapenda sana. Kuna moja ya homecoming album waliimbia kule Israeli kwenye kabonde flani hivi, (kama uliwahi iona Jesse alikua kwenye peak yake na ule wimbo wa ''Gone'' akiwa amevaa suti kama ya blue hivi. utafute kama bado hujakutana nao, you will love him even more)

''LOVE CAN TURN THE WORLD'' by Gaithers

cc Ablessed, BAK, Mr Rocky, Ntuzu, KOKUTONA, Karucee, MTAZAMO, lara 1, 1st AID, EMT, everlenk


Dah!! Tized Wimbo huu ni mzuri sana naupenda mno, pia nawakubali sana HillSong, Mark Lowry, Michael Smith na wengine wengii hata hapa nyumbani ndo usiseme.

Mkuu Ntuzu asante sana yaani huwezi amini ndo wimbo nilioamka nao asubuhi Siku nzima nauimba moyoni mwangu. Our God is awesome God.
 
Last edited by a moderator:
Bawo wethu-kholeka

Ebenezer-Angela chibalonza

Ebenezer-sipho makabane

Ighesthmani-rehoboth ministries

Ni wema wake Yesu-Miriam Chirimwa

Living waters-Hlengiwe mhalaba

Never failed me-Hlengiwe Mhalaba

Jesus is coming,I think ni Kijitonyama.
 
Kuna yule albino aliimba kilingala wimbo wa 'Eee Yahwe' wimbo ambao ni mgumu kidogo kuusikiliza mbele ya mkweo, anaitwa nani vile?
 
Bawo wethu-kholeka

Ebenezer-Angela chibalonza

Ebenezer-sipho makabane

Ighesthmani-rehoboth ministries

Ni wema wake Yesu-Miriam Chirimwa

Living waters-Hlengiwe mhalaba

Never failed me-Hlengiwe Mhalaba

Jesus is coming,I think ni Kijitonyama.

Nimejikuta nimefurahi tu ...... kuna Uzi mmoja ukawa unasema huelewi mambo ya Mungu hasa habari za kuteswa Yesu msalabani.
 
I am very fine my Brother Eli79 . Humbled to hear from you.

Aisee kweli unawajua hawa jamaa. Nawapenda sana. Kuna moja ya homecoming album waliimbia kule Israeli kwenye kabonde flani hivi, (kama uliwahi iona Jesse alikua kwenye peak yake na ule wimbo wa ''Gone'' akiwa amevaa suti kama ya blue hivi. utafute kama bado hujakutana nao, you will love him even more)

''LOVE CAN TURN THE WORLD'' by Gaithers

cc Ablessed, BAK, Mr Rocky, Ntuzu, KOKUTONA, Karucee, MTAZAMO, lara 1, 1st AID, EMT, everlenk
Wow thank you! Kuna watoto kama hawa waliimba na Michael w Smith wanatokea Uganda sijui ni wenyewe
 
Ya nawapenda hawa jamaa ''Casting Crowns''. Kuna Wimbo wao waitwa ''WHO AM I'' na mwingine unaitwa ''DOES ANY BODY HEAR HER'' nazipenda sana kwa kweli.

Huo wa kwanza unanifanyaga nijiulize maswali mengi sana kujihusu, huo wa pili unaleta picha flani nione bado tuna wajibu wa kufanya kitu mahali kwa ajili ya mtu fulani. Pia unatuasa kuendelea kupiga vita haka katabia ka kuhukumu hukumu ovyo.

Zisikilize kwa makini utazifurahia zaidi.
nzuri sana!
tafuta "thrive", "all you ever wanted" na "courageous"
 
Sikilkizeni hawa wanaitwa Casting crowns, nyimbooo zao zina ujumbe sana

Jamaa wanajua. Nilianza kwa kusikiliza wimbo wao wa EAST TO WEST na ule wa AT YOUR FEET. Ni noma sana, wananibariki. Kuna wakorea wanaitwa Golden Angels au Angels 6 nao wananibariki sana japo nyimbo zao wanakopi lakini wanabadilisha staili ya kuimba.
 
Back
Top Bottom