Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 61,112
- 124,671
msikilize na abiud misholi......baadhi ya nyimbo zake nakutajia jaribu kuzisikiliza..... (1) Ninasema (2) isaya (3) Biblia yasema (4) Baba (5) Usirudi nyuma (6) Simama mwenyewe (7) Nimebaki peke yangu (8) Moyo wangu wazi (9) Siku moja (10) Uje unitoe.
Hizo ni baadhi tu.....
sister we ndo umenena bhana....manyimbo ya kizungu aaah
Last edited by a moderator: