Kama ni mpenzi wa documentaries share nasi baadhi kati ya ulizoangalia. Itapendeza ukitueleza kidogo inahusu nini. Mimi naanza na darwins niightmares.
Hii imetengenezewa Mwanza Tanzania na inazungumzia jinsi samaki wasivyo nufaisha wenyeji.
wewe umeona zipi?
mimi zangu nilizowahi kuzicheki ni hizi
1.[Developing Occult and Psychic Powers] Thought Vibration, or Law of Attraction. Nadhani hii inajieleza kwenye title yake.
2.Change Your Thoughts, Change Your Circumstances! (Law Of Attraction) Powerful. Hii ni documentary ya saikolojia, inaonyesha jinsi gani fikra zako inavyo influence yale yanayo kutokea kaitka maisha yako, nzuri sana.
3.How to Throw a Knife- Different Styles _ COMBAT KNIFE THROWING. Hapa inazungumzia ishu za kurusha visu katika namna mbalimbali na ku hit target yako, wale wapenda martial arts na wengine inawafaaa.
4.Lion and Man Killing Dance - The End of Wild Lions_ (National Geographic Documen), inahusu maasai na mila za kuwinda simba, pia inaonyesha kupitwa na wakati na mila hizi
5.The Occult- - Truth Behind The Word - Shamanism, Aleister Crowley, L. Ron Hubbar. inajieleza tu yenyewe
6.Myths And Logic Of Shaolin Kung Fu, hapa inazungumzia kuhusu Shaolin
7.Ninjas - Secret History of the Ninja Uncovered (Full Documentary), Hii inawahusu Ninjas, myth zake na ukweli kuwahusu.
8.Da Vinci Code Secrets - hii inamzungumizia huyu jamaa na mambo yake
9.Inside Islam - The History Channel - Mambo ya dini haya.
10.Dr. Ben Carson Gifted Hands documentary - inazungumzia story ya huyu jamaa hadi kuja kufanikiwa na kuna movie yake pia
11.BBCThe.Human.Body.Pt1of7.Life.Story.DivX505.AC3.
Board Message - hizi zipo nyingi zimeandaliwa na BBC zinahusu binadamu na mifumo yake.
12.THE LIFE OF MUHAMMAD (PBUH) BBC - Documentary - life ya MTUME S.A.W
13.Top ten USA Destructive Military Machines, Super Tanker , The Space Shuttle. Zote zinahusu mambo ya kijeshi na silaha zake.
14.Forbidden History The Bloodline of Christ, Jesus was a Buddhist Monk BBC Documentary. Watu wanatuchanganya akili humu hebu zichekini.
15.Behind the closed doors of The Vatican - Hapa wanaonyesha mengi kuhus Vatican.
16.My Strange Addiction- I'm a Living Doll! TLC Discovery. Hapa wanaonyesha life wanavyoishi watu wanaotaka perfection ya miili yao na kufanana na midoli.
ntashusha zingine