Kwa wapenzi wa documentaries

Kwa wapenzi wa documentaries

kuna hii nyingine ni series yenye episodes 54, amenarrate Morgan Freeman inaitwa through the wormhole. ni ya kisayansi na nzuri sana. inajaribu kujibu maswali kama kkuna Mungu? kuna aliens? can we travel through time? etc. Ishmael.


EVxf-.jpg
 
Ngoja nikupe zingine na link zake.Hii kitu ni ugonjwa.

1.[h=3]Unruly teens learn lessons at bootcamp[/h]https://www.youtube.com/watch?v=0zT2npRPVws

2. Exclusive: Inside children's boot camps,
https://www.youtube.com/watch?v=B9t2V8MOhCg
watoto watukutu wanapelekwa kupewa training na adhabu za kijeshi.

3.The World's Most Highly Respected Army Commando-GGK
https://www.youtube.com/watch?v=aiTRdJ7toUQ
Trainning za GGK makomando hao

4.Advanced Sniper Technology and Tactics (Full Documentary)
https://www.youtube.com/watch?v=Z4ccGHoKrMM check mambo ya sniper hayo

5.Gangs in Prison National Geographic Documentary 2014
https://www.youtube.com/watch?v=mm33KFH4m8E life in prison, jinsi unyama na visasi, vyeo na codes za magroup ya jera

6.Human body! Pushing the limits - Strength! part 3
https://www.youtube.com/watch?v=MWeRsTKtCbM hizi zipo nyingi zinaongelea pushing mwili wako hadi uvuke line. its all mentor

7.Elliot Rodger - The Virgin Killer (2014 Isla Vista killings
https://www.youtube.com/watch?v=t5uZX0nd0O8
huyu dogo aliua mademu na vijana wengine kisa yeye alijiona perfect but hakuwahi kuwa na demu.

KWA LEO

Ulikuwa wapi siku zote asee!!!!! Nyingi ulizozitaja sijawahi kuziona. Ngoja niingie torrent nikapakue mzigo!!!!
Thanx!!!
 
Ipo web moja inaitwa top documentaries....ukiingia hapo...utachoka mwenyewe...kila.type ipo...
 
Through the wormhole with Morgan Freeman, the geek who changed the world,the greatest Bank robbery,seconds to disaster,blood relatives,extreme forensics etc
 
Thought Crimes: The Case of the Cannibal Cop. hii inahusu askari mmoja aliyekuwa anachat dark fetish mpaka kupelekea kushtakiwa kwwwa conspirancy ya kuteka na kuua. ina kastori kazuri.
hqdefault.jpg
 
antarctica: a year on ice. inaonyesha jinsi maisha ya mwaka yanavykuwa huko antarctica.
poster212x312.jpeg
MV5BMjI5MzI0Nzk3OV5BMl5BanBnXkFtZTgwNTAyODExMzE@._V1_SY317_CR0,0,214,317_AL_.jpg
 
hii ni nzuri sana. mambo yasiyoonekana na jinsi yanavyoweza kubadilisha teknolojia.
bcd3e54e-47e4-41a6-8ea8-b17da42e3699.jpg
 
Did we land on the moon
Hii inazungumzia je ni kweli binadamu alifika mwezini NASA wanatoa ushahidi kuwa tulifika huku wanasayansi wengine wanapinga kwa ushahidi ulioshiba
 
winter on fire: hii iinahusu maandamano ya miezi mitatu ya wananchi wa Ukraine kuiangusha serikali ya Yanukovichy. ni nzuri, ipo organized na inasisimua sana.

131201133946-09-ukraine-protest-1201-horizontal-gallery.jpg
 
Angalia hii SCANDAL .... .... .... mambo ya siasa. USA president.
 
mkuu hii scandal mbona inaelezewa kama ni series. ila nimependa storyline yake, ntaitafuta.

Ni series mkuu. Lakini kama una sky box unaweza kudownload zote then unaangalia kwa wakati wako. Safi sana.
 
The 33
Hii inazingumzia wachimbaji madini wa chile waliofukiwa na kifusi kwa takribani siku 69...inasisimua kwa kweli
 
Dah mmenikosha sana wakuu nlikuwa sijui Kama kuna uzi
Kama huu hapa jf mm ni mpenz sana wa documentaries
Kuna moja inaitwa a day in Iraq ...aircrush investigation..inside job...kuna hizi zimetaja apo juu kanarate Morgan freeman nyingi nkikumbuka ntaweka apa kwa wap enz wa mpira kuna moja inaelezea maisha ya Christian Ronaldo ya juz juz tuu apa nzur sna inaitwa Ronaldo
 
Nimepitia web ya top documentary aliyoitaja mdau mmoja hapo juu, nimekutana na hii kitu ENEMY OF ENEMIES; RISE of ISiL. Ndo naipitiA saivi kwakweli nimejifunza kitu
 
The rise of the continents - inaelezea jinsi mabara ya dunia yalivyomeguka kutoka katika pangea miaka million kadhaa iliyopita pia jinsi ambavyo nguvu za uvutano chini ya dunia (ardhini) zinavyochangia mabadiliko ya taratibu ktk uso wa dunia. Ukiangalia vyema kwenye ramani ya dunia jinsi maumbo ya mabara yalivyo utapata picha kuwa asili yake ni (yalimegeka kutoka ktk) umbo kubwa moja la duara!!

God grew tired of us - inaelezea maisha ya wavulana wakimbizi toka Sudani kusini waliotoroka vita na mauaji kwa kutembea mwendo mrefu mpaka kambi ya Kakuma - Kenya na kuishi hapo kwa muda kabla kupata hifadhi ya ukimbizi Marekani.
Wakiwa Marekani wanaanzisha harakati ya kuwasaidia ndugu zao kupata hifadhi pia..., ilhali baadhi yao wanarejea nyumbani kuendeleza kampeni ya kutokomeza vita ktk nchi yao baada ya kupata elimu mpaka chuo kikuu.
 
Zeitgeist the movie.
Zeitgeist addendum.
Zeitgeist moving foward. Hizi ndio best kwa upande wangu.
 
Entebe Raid. Hii inahusu Israel soldier jinsi walivyowaokoa wayaudi wenzao waliotekwa na terrorists yani ni one of my favorite. Napenda documentary zinazohusu wars, terrorism, spying etc.

Nyingi huwa naangalia kupitia documentary heaven. http://documentaryheaven.com/

Brainwashing tools, zinakuaminisha kuwa Wazungu ni noma, ndio maana tunalidharau Jeshi Letu kwa kulinganisha na movie, tunasahau tumeshinda vita nyingi sana, na hicho ndio kipimo cha ubora.
 
Back
Top Bottom