nyingi mi huwa nadownload torret na pc sijajua kwa smartphone. au kama unanet yenye nguvu unaweza cheki kupitia youtube. kutumia torrent kuna tuprocedure. unaweza kusoma net jinsi ya kutumia torrent.Nitazipataje mkuu Na mm n mgojwa sana was doc
nimeicheki sicko. ni nzuri sana michael ana guts sana na anajua kuorganize kazi yake. shukrani sana.Mkuu kama umeipenda hiyo nakushauri pia utafute Bowling for Columbine, Sicko na Capitalism, a love story ambazo zote ni za Michael Moore.
Air crash investigation (series) - imetengenezwa na National geographic - Inahusu uchunguzi wa vyanzo vya ajali za ndege (pamoja na simulizi kutoka kwa survivors) - kwa sasa siangalii tena kwani zilinifanya niwe naogopa kupanda ndege.
chimpanzee, inafuatilia maisha ya sokwe mdogo aliyefiwa na mamayake kwenye misitu ya ivory coast.
hii niliwahi iona, zile ishu hata hapa zinaeza kutokea. niliona nyingine zina husu civil war huko sierra leone, ukiziona lazima ufreeze.