kama ni mpenzi wa documentaries share ulizoangalia pamoja nasi. itapendeza ukitueleza kidogo inahusu nini. mimi naanza na darwins niightmares. hii imetengenezewa mwanza tanzania na inazungumzia jjinsi samaki wasivyo nufaisha wenyeji..
wewe umeona zipi?
nimeiona hii oasis of the seas. inastaajabisha sana. harafu mbona wabeba maboksi wote ni blacks!?.Daaa Nimefurah nilipoiona hii thread itabid niziyafute zote zinazosemekana ni nzur me nimeona ile ya Oasis of the Seas inayoonyesha meli kubwa dunian.
World Biggest Airliner (Airbus A380) ndege kubwa dunian, wanaonyesha jins ilivyotengenezwa had ilivyoruka mara ya kwanza.
Dubai Palm Island inaonyesha jinsi hicho kisiwa huko Dubai kilivyojengwa.
hivi karibuni nimecheki documentary moja inaitwa food inc. inazungumzia jinsi makampuni makubwa yalivyomonopolize biashara ya chakula na athari zake kwa wakulima na walaji. jinsi azam anavyojitanua na sisi itakuja sasa hivi. si mbaya kujitanua ila documentary kama hizi zinaatakiwa kutusaidia kuweka taratibu kuepuka maafa yawapatao wenzetu. ni documentary nzuri sana
nimeiona hii oasis of the seas. inastaajabisha sana. harafu mbona wabeba maboksi wote ni blacks!?.
mkuu main theme yake ninini?
ungeweka hapa si kwa faida yangu tu wengi wanapita hapa wangefaidika. dhumuni la uzi ni kusaidiana kuchagua documentary na si kwamba tumeshindwa kwenda IMDb kuperuzi. ukitaja jina tu unakuwa haujasaidia.Huu muda unaoutumia JF unashindwa kuingia Youtube na kuangalia au download kwenye cd? Unafahamu maana ya untold story?