Nakupenda Sana.Asante sana kaka mkubwa.ubarikiwe snaa🥰🥰
Mwanamke ni chanzo, mwanamke ni baraka.National Anthem upite huku
Kwa nini unahisi Kama nilikunywa sister?Kwani ulikuwa umekunywa nini kaka jana😆
Thank you Suchy.. Barikiwa pia
Asante sana brother Glenn 😍😍Ni matumaini yangu mko salama wote popote mlipo.
Napenda niseme maneno machache katika siku yenu muhimu...mnaposherehekea siku ya wanawake duniani.
Kwa wale wasomi wa biblia kuna mistari kadhaa imewasifia wanawake kuwa ninyi ni kitu chema;
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
Biblia inawaita ni ni KITU CHEMA.
Nami nasema hakika mwanamke ni;
...Ktu chema na cha baraka
...nyie ni maua yenye harufu nzuri kwetu
...hakika mnavutia sana
...ninyi ni furaha ya familia na jamii
...mmeumbwa kwa namna ya kipee.
...viumbe vya kuvutia kwetu
Tunawapenda sana
WANAWAKE KAMA WAZAZI
Wanawake kama wazazi na walezi mnapitia magumu mengi mno.
Ni vigumu mwanamke kumkimbia mtoto iwe jua au inyeshe.
Wengi wenu mnapitia changamoto za kukikimbiwa na wenza wenu lakini hakika huwa mnasimama imara kuhakikisha mnatulea kwa furaha na bila majuto.
Mungu awabariki mno.
Kwangu mimi mwanamke ni;
...mama
...dada
...rafiki bora kabisa
...mpenzi/mke.
Najitahidi kuwaheshimu na kuwapa thamani yenu sana (JAPO KIUBINADAMU HUWA NAKOSEA PIA)
Sijawahi kusita kujitolea kusaidia au kuingilia ninapoona kuna uonevu akitendewa mwanamke bila kujali ninamfahamu au laa.
Huo naona kama vile nina wajibu wangu kumsaidia kama mama au dada...najua si mimi pekee bali ni wanaume walio wengi.
Hii ni kutokana na umuhimu wenu kwetu.
Mmetulea kwa upendo na mapenzi makubwa.
Jambo lingine kubwa zaidi ...ninyi ni mashujaa sana.
Mwanamke aweza kuolewa na mzee kuliko yeye na akampenda na kumtunza kwa upendo.
Anaolewa na baunsa, jambazi na jitu katili sana na akammudu bila tatizo hii ni ajabu sana...nawapongeza katika hili pia.
Hivyo mnapo sherehekea siku yenu msijione wanyonge bila kujali mnapitia hali gani.
Nawatakia siku njema na ya baraka wapendwa na vipenzi vyetu na...
TUNAWAPENDA SANAA MA..sweetheart wetu
witnessj
Evelyn Salt Nakadori Carleen Chakorii Antonnia Ms cee
Kelsea Mama pretty Amehlo Depal
Lenie Jadda Heaven on Earth Heaven Sent witnessj Makiwendo Mideko Palina winlicious
To yeye Unique Flower Bantu Lady Tinsleyooo Saint Anne Shunie Mzigua90 reymage Madame S Inna Joanah Nuzulati mawardat Amehlo Mideko
Joannah To yeye Demi Kalpana Darlin Shunie Debora Msiko
Mamndenyi mama D
Aksha Dejane
moneytalk
Clkey luckyline Valentina Nifah
Dr. Mariposa
sophy27 Lovelovie Ironbutterfly Iron Lady
Abee, nina dalili za mafua makali hata kutype napata shida,
Asante sanaMungu akuponye
Asante sana Satoh Hirosh 🤝Bantu Lady na dadaangu Karucee happy women's day.
Thanx friend
Barikiwa Sana kwa bandiko zuriNi matumaini yangu mko salama wote popote mlipo.
Napenda niseme maneno machache katika siku yenu muhimu...mnaposherehekea siku ya wanawake duniani.
Kwa wale wasomi wa biblia kuna mistari kadhaa imewasifia wanawake kuwa ninyi ni kitu chema;
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
Biblia inawaita ni ni KITU CHEMA.
Nami nasema hakika mwanamke ni;
- Ktu chema na cha baraka
- Nyie ni maua yenye harufu nzuri kwetu
- Hakika mnavutia sana
- Ninyi ni furaha ya familia na jamii
- Mmeumbwa kwa namna ya kipee.
- Viumbe vya kuvutia kwetu
Tunawapenda sana
WANAWAKE KAMA WAZAZI
Wanawake kama wazazi na walezi mnapitia magumu mengi mno.
Ni vigumu mwanamke kumkimbia mtoto iwe jua au inyeshe.
Wengi wenu mnapitia changamoto za kukikimbiwa na wenza wenu lakini hakika huwa mnasimama imara kuhakikisha mnatulea kwa furaha na bila majuto.
Mungu awabariki mno.
Kwangu mimi mwanamke ni;
- Mama
- Dada
- Rafiki bora kabisa
- Mpenzi/mke.
Najitahidi kuwaheshimu na kuwapa thamani yenu sana (JAPO KIUBINADAMU HUWA NAKOSEA PIA)
Sijawahi kusita kujitolea kusaidia au kuingilia ninapoona kuna uonevu akitendewa mwanamke bila kujali ninamfahamu au laa.
Huo naona kama vile nina wajibu wangu kumsaidia kama mama au dada...najua si mimi pekee bali ni wanaume walio wengi.
Hii ni kutokana na umuhimu wenu kwetu.
Mmetulea kwa upendo na mapenzi makubwa.
Jambo lingine kubwa zaidi ...ninyi ni mashujaa sana.
Mwanamke aweza kuolewa na mzee kuliko yeye na akampenda na kumtunza kwa upendo.
Anaolewa na baunsa, jambazi na jitu katili sana na akammudu bila tatizo hii ni ajabu sana...nawapongeza katika hili pia.
Hivyo mnapo sherehekea siku yenu msijione wanyonge bila kujali mnapitia hali gani.
Nawatakia siku njema na ya baraka wapendwa na vipenzi vyetu na...
TUNAWAPENDA SANAA MA..sweetheart wetu
witnessj
Kapeace