Kwisha habari yakeNimemtegea akija upige yowe nami ntafumania🤣
Kwa mwendo wa madaha tunaingiaDj walete wanawake stejini na wimbo wa Strong Woman by Blu 3 🥂✌️
Na muimbeeKwa mwendo wa madaha tunaingia
Hadi nakosa pa kuliweka
Hilo halifai. Mwendo wa Madaha unahitaji Lile la size Fulani hivi amazing. Si kuubwa sana kama Hilo lako.Hadi nakosa pa kuliweka
Na muimbee
Au hamjui
Unaujua mwendo wa madaha vizuri😀😀😀Hilo halifai. Mwendo wa Madaha unahitaji Lile la size Fulani hivi amazing. Si kuubwa sana kama Hilo lako.
Wewe Kaa kwenye kiti subiri mwendo wa mateka.
Hapana. Wewe mwendo wa Madaha haukufai.Unaujua mwendo wa madaha vizuri😀😀😀
Ni wivu tu
Hao nawajulia jukwaani. Sina uhusika nao.Hivi wewe ni mzabzab au Mzee wa kupambania 🤣🤣
We ndo hujui 😀😀😀huwezi kuwa huna kisapoti mwendo wa madaha ukaweza tembea mwendo huo lazima utembee haraka haraka ila kama lipo masha’allah ah wee na kiji mid heels 👠 baasi unanata tu am a strong woman…. Famasiala na mwendo wa madaha weweHapana. Wewe mwendo wa Madaha haukufai.