Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,641
- 47,664
Asante sana mdada. Baraka zikawe kwetu wote 🙏
Asante sana mdada. Baraka zikawe kwetu wote 🙏
Yani jana tulilala miguu juuu....Bado unashangilia ushindi wa jana...ghafla ni siku yenu tena ya kufurahia😂
Sanaa wote wanyama so tulishambulia nyika... 😄 😄 😄Heri yake bro alifurahia🤣
Barikiwa na Bwana damu yangu..!! 😍
Kwanini au bayaJina lako lanichanganya mkuu
Una uhakika hapo hao wote ni wanawake?Joannah
Valentina
Saint Anne
Shunie
Dahan
Amehlo
Bantu Lady
ahzan
nana_
To yeye
Unique Flower
mawardat
Kasie
Joan lewis
mama D
Nawatakia furaha, amani, upendo pamoja na utulivu wa mioyo yenu
I slept earlyTangu nikuite usiku mamii?
xoxo 💋