Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,508
- 203,230
AmenPongezi zangu ziende kwa wale ambao hawatumii na hawajawahi kutumia ujuzi wa katikati ya miguu ku-survive.
AmenPongezi zangu ziende kwa wale ambao hawatumii na hawajawahi kutumia ujuzi wa katikati ya miguu ku-survive.
Asante sanaPongezi zangu ziende kwa wale ambao hawatumii na hawajawahi kutumia ujuzi wa katikati ya miguu ku-survive.
Famchezo niniWe ndo hujui 😀😀😀huwezi kuwa huna kisapoti mwendo wa madaha ukaweza tembea mwendo huo lazima utembee haraka haraka ila kama lipo masha’allah ah wee na kiji mid heels 👠 baasi unanata tu am a strong woman…. Famasiala na mwendo wa madaha wewe
Depal muambie mjomba ako
Shauriyo.We ndo hujui 😀😀😀huwezi kuwa huna kisapoti mwendo wa madaha ukaweza tembea mwendo huo lazima utembee haraka haraka ila kama lipo masha’allah ah wee na kiji mid heels 👠 baasi unanata tu am a strong woman…. Famasiala na mwendo wa madaha wewe
Depal muambie mjomba ako
😀😀😀 nasemaje huna ujualoShauriyo.
Likiwa kubwa ile unanyanyua mguu mmoja, heel inateguka. Unajimwagwa pwaa kama gunia la maharage.
Tulia kwenye kiti mama. DJ akiweka beat, wewe vua viatu. Litingishe, watu weweeeeeeeeeee.
Catwalk 'madaha' haihitaji waliojaliwa sana.😀😀😀 nasemaje huna ujualo
Famchezo na mwendo wa madaha hutoki jasho yani
Mjomba madaha ni yetu sote 😀😀😀😀Catwalk 'madaha' haihitaji waliojaliwa sana.
Mapaja manene yanashindwa kupishana. Utajitega ujikwae. Heel iwe very strong, mifupa iwe kakamavu.
Kama una madaha, tambua hujajaliwa kihivyoooo..
Tulia Shangazi. Glenn tafadhali weka beat lingine.
Oyatwa!Mjomba madaha ni yetu sote 😀😀😀😀
Kwanza we madaha unayajulia wapi 😀😀au uneleft group
good night dear 😍😍😍😍😍Oyatwa!
Hebu tuishie hapa.
Tuendeleze Ligi ChumbaniUsiku mwemeni
good night dear 😍😍😍😍😍
Usije nizaba vibao tu😀😀Tuendeleze Ligi Chumbani
Na wote tuseme Amen 🙏Ni matumaini yangu mko salama wote popote mlipo.
Napenda niseme maneno machache katika siku yenu muhimu...mnaposherehekea siku ya wanawake duniani.
Kwa wale wasomi wa biblia kuna mistari kadhaa imewasifia wanawake kuwa ninyi ni kitu chema;
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
Biblia inawaita ni ni KITU CHEMA.
Nami nasema hakika mwanamke ni;
...Ktu chema na cha baraka
...nyie ni maua yenye harufu nzuri kwetu
...hakika mnavutia sana
...ninyi ni furaha ya familia na jamii
...mmeumbwa kwa namna ya kipee.
...viumbe vya kuvutia kwetu
Tunawapenda sana
WANAWAKE KAMA WAZAZI
Wanawake kama wazazi na walezi mnapitia magumu mengi mno.
Ni vigumu mwanamke kumkimbia mtoto iwe jua au inyeshe.
Wengi wenu mnapitia changamoto za kukikimbiwa na wenza wenu lakini hakika huwa mnasimama imara kuhakikisha mnatulea kwa furaha na bila majuto.
Mungu awabariki mno.
Kwangu mimi mwanamke ni;
...mama
...dada
...rafiki bora kabisa
...mpenzi/mke.
Najitahidi kuwaheshimu na kuwapa thamani yenu sana (JAPO KIUBINADAMU HUWA NAKOSEA PIA)
Sijawahi kusita kujitolea kusaidia au kuingilia ninapoona kuna uonevu akitendewa mwanamke bila kujali ninamfahamu au laa.
Huo naona kama vile nina wajibu wangu kumsaidia kama mama au dada...najua si mimi pekee bali ni wanaume walio wengi.
Hii ni kutokana na umuhimu wenu kwetu.
Mmetulea kwa upendo na mapenzi makubwa.
Jambo lingine kubwa zaidi ...ninyi ni mashujaa sana.
Mwanamke aweza kuolewa na mzee kuliko yeye na akampenda na kumtunza kwa upendo.
Anaolewa na baunsa, jambazi na jitu katili sana na akammudu bila tatizo hii ni ajabu sana...nawapongeza katika hili pia.
Hivyo mnapo sherehekea siku yenu msijione wanyonge bila kujali mnapitia hali gani.
Nawatakia siku njema na ya baraka wapendwa na vipenzi vyetu na...
TUNAWAPENDA SANAA MA..sweetheart wetu
witnessj
Evelyn Salt Nakadori Carleen Chakorii Antonnia Ms cee
Kelsea Mama pretty Amehlo Depal
Lenie Jadda Heaven on Earth Heaven Sent witnessj Makiwendo Mideko Palina winlicious
To yeye Unique Flower Bantu Lady Tinsleyooo Saint Anne Shunie Mzigua90 reymage Madame S Inna Joanah Nuzulati mawardat Amehlo Mideko
Joannah To yeye Demi Kalpana Darlin Shunie Debora Msiko
Mamndenyi mama D
Aksha Dejane
moneytalk
Clkey luckyline Valentina Nifah
Dr. Mariposa
sophy27 Lovelovie Ironbutterfly Iron Lady
AmenJoannah
Valentina
Saint Anne
Shunie
Dahan
Amehlo
Bantu Lady
ahzan
nana_
To yeye
Unique Flower
mawardat[/USERER=422728]Kasie
Joan lewis
mama D
Nawatakia furaha, amani, upendo pamoja na utulivu wa mioyo yenu
AmenJoannah
Valentina
Saint Anne
Shunie
Dahan
Amehlo
Bantu Lady
ahzan
nana_
To yeye
Unique Flower
mawardat
Kasie
Joan lewis
mama D
Nawatakia furaha, amani, upendo pamoja na utulivu wa mioyo yenu

Asante sana kaka mkubwa.ubarikiwe snaa🥰🥰
Asante Glenn baba ubarikiwe mno🥰🥰🥰😘😘Ni matumaini yangu mko salama wote popote mlipo.
Napenda niseme maneno machache katika siku yenu muhimu...mnaposherehekea siku ya wanawake duniani.
Kwa wale wasomi wa biblia kuna mistari kadhaa imewasifia wanawake kuwa ninyi ni kitu chema;
Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana.
Mithali 18:22
Biblia inawaita ni ni KITU CHEMA.
Nami nasema hakika mwanamke ni;
...Ktu chema na cha baraka
...nyie ni maua yenye harufu nzuri kwetu
...hakika mnavutia sana
...ninyi ni furaha ya familia na jamii
...mmeumbwa kwa namna ya kipee.
...viumbe vya kuvutia kwetu
Tunawapenda sana
WANAWAKE KAMA WAZAZI
Wanawake kama wazazi na walezi mnapitia magumu mengi mno.
Ni vigumu mwanamke kumkimbia mtoto iwe jua au inyeshe.
Wengi wenu mnapitia changamoto za kukikimbiwa na wenza wenu lakini hakika huwa mnasimama imara kuhakikisha mnatulea kwa furaha na bila majuto.
Mungu awabariki mno.
Kwangu mimi mwanamke ni;
...mama
...dada
...rafiki bora kabisa
...mpenzi/mke.
Najitahidi kuwaheshimu na kuwapa thamani yenu sana (JAPO KIUBINADAMU HUWA NAKOSEA PIA)
Sijawahi kusita kujitolea kusaidia au kuingilia ninapoona kuna uonevu akitendewa mwanamke bila kujali ninamfahamu au laa.
Huo naona kama vile nina wajibu wangu kumsaidia kama mama au dada...najua si mimi pekee bali ni wanaume walio wengi.
Hii ni kutokana na umuhimu wenu kwetu.
Mmetulea kwa upendo na mapenzi makubwa.
Jambo lingine kubwa zaidi ...ninyi ni mashujaa sana.
Mwanamke aweza kuolewa na mzee kuliko yeye na akampenda na kumtunza kwa upendo.
Anaolewa na baunsa, jambazi na jitu katili sana na akammudu bila tatizo hii ni ajabu sana...nawapongeza katika hili pia.
Hivyo mnapo sherehekea siku yenu msijione wanyonge bila kujali mnapitia hali gani.
Nawatakia siku njema na ya baraka wapendwa na vipenzi vyetu na...
TUNAWAPENDA SANAA MA..sweetheart wetu
witnessj
Evelyn Salt Nakadori Carleen Chakorii Antonnia Ms cee
Kelsea Mama pretty Amehlo Depal
Lenie Jadda Heaven on Earth Heaven Sent witnessj Makiwendo Mideko Palina winlicious
To yeye Unique Flower Bantu Lady Tinsleyooo Saint Anne Shunie Mzigua90 reymage Madame S Inna Joanah Nuzulati mawardat Amehlo Mideko
Joannah To yeye Demi Kalpana Darlin Shunie Debora Msiko
Mamndenyi mama D
Aksha Dejane
moneytalk
Clkey luckyline Valentina Nifah
Dr. Mariposa
sophy27 Lovelovie Ironbutterfly Iron Lady
Jibu limenichekesha sana hili😁Usiseme Asante,wewe haupo sijakutaja hapo.
Kwani ulikuwa umekunywa nini kaka jana😆Siaminiki kwa lipi mkuu? Mwenzio nipo job now nalinda maduka ya watu yasivunjwe,wewe umelala lkn unachezea simu. Ngoja shemeji akufume.