Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
Ok mkuu tusibishane sana, kwasababu hii inategemeana na sehemu ulipo, desturi zenu na vitu vingi, na hutofautiana toka mtu hadi mtu...vile ilivyo kwangu na ninavyoona inafanya kazi kwangu si hivyo inavyoweza kuwa inafanya kazi kwako..kumbuka kuwa, kuna wanawake wengine kama mwanaume atakuwa mpole mno, wanaweza hata kumdharau na wanaweza kuona kama hakuna baba mwenye nyumba...hapo ndo utaniuliza kwanini wawanake wengine wa kikurya wanaomba kupigwa ili mwanaume aonekana yupo ndani ya nyumba...haitakiwi hata siku moja umtreat our wife kama mko sawa na wewe, hilo ni kosa kuliko yote utakayokuja kufanya ukioa bwamdogo...na haimaanishi kuwa haumpendi, unampenda kwasababu kama upendo haupo ndani ya nyumba hata tendo la ndoa hamtakuja kulifurahia kwasababu upendo hautakuwepo...upendo uko palepale, na usawa hautakiwi kabisa...ujue kuwa, hata kama wanawake woote hapa watapinga, every woman huwa anapenda kuona na kuhisi kuwa there is somebody in da house...yaani uwepo wako wewe mwanaume ufanye utofauti kuwa kuna mtu ndani...sio kwamba usipokuwepo na ukiwepo ni sawa tu,..noooo,
however inategemeana, najua hapa ninapotype haupo tz kwasababu tz wameshalala sasaivi..so kama uko huku western countries, wameshakuharibu mkuu, angalia wanavyopeana talaka kila siku kwasababu ya kitu kidogo tuuu, kushindana ndani ya nyumba..hakuna kiongozi....ukweli utabaki palepale, mwanaume ni boss/kiongozi, mwanamke ni msaidizi ktk ofisi ya nyumba...hata vitabu vitakatifu vimesema hivyohivyo...