Kwa wanaume

Kwa asilimia yote mwanamke ukishamweka ndani yaani mke atakutegemea kimawazo

Kwa almost everything kwa mfumo wowote utakao uweka uwe mfume dume, jike sijui mfumo sawa kwa sawa vyovyote vile. Mwanamke/mke hata siku moja hatajafanya kama wewe unavyotarajia maana anadepend kwako kimawazo kwa kiasi kikubwa hivyo hata kwenye utekelezaji hawezi kujiamini.
Cha msingi usichoke kufundisha na kuelekeza kila iitwapo leo,
Maisha ya ndoa yatakuwa matamu
Iko hivyo, kwa ushauri wangu.

Mkuu FD kule mtaa wa pili mbona kumenuna siku hizi?
 
Mimi nazungumzia team work i.e. where the players play as a team and not as individuals.

Na kwenye ndoa mke na mume wote ni viongozi.
Huwezi kuwa na viongozi wawili kwenye timu moja kaka. Au umesahau kuwa mafahali wawili hawakai zizi moja????????????????????????????
 
Aisee tone yako ni mbaya unaposema "mmoja ni boss".....it just doesn't sound right to my ears. In a marriage, both husband and wife are supposed to be co-bosses, if I may use your term. This doesn't mean that the wife can also do oil changes and the like. Not at all (though if she can why not)....What I mean is that both of you should treat each other fairly, you should respect each other, and love each other equally and also understand your roles as husband and wife. But to say one is the boss so who/what is the other half supposed to be - subordinate? Come on man...what kind thinking is that?
Not everythng that is right sounds right to everyone's ears.
 
Kwa asilimia yote mwanamke ukishamweka ndani yaani mke atakutegemea kimawazo

Kwa almost everything kwa mfumo wowote utakao uweka uwe mfume dume, jike sijui mfumo sawa kwa sawa vyovyote vile. Mwanamke/mke hata siku moja hatajafanya kama wewe unavyotarajia maana anadepend kwako kimawazo kwa kiasi kikubwa hivyo hata kwenye utekelezaji hawezi kujiamini.
Cha msingi usichoke kufundisha na kuelekeza kila iitwapo leo,
Maisha ya ndoa yatakuwa matamu
Iko hivyo, kwa ushauri wangu.

Mkuu FD kule mtaa wa pili mbona kumenuna siku hizi?
kule wamekuharibu wenyewe wale ma-moderator maana wako busy na shughuli zao binafsi kuliko kazi
 
Mkuu mi naamini ndoa hazina Template. Hata hao wenzi wetu wanaofanyiwa kitchen party bado hutoka kwenye hayo mafunzo/kufundwa wakiwa hawana ufahamu wa jinsi ya kuzisimamia ndoa zao, haswa linapokuja suala la mahusiano ya kila siku kati ya mke na mume.

Nadhani kitu cha muhimu hapa kwa wanaume na hata wanawake tujifunze kuishi kwa kuvumiliana na kwa kurekebishana.

Kingine ni kwamba ndoa hazina experience hata mwenye miaka20 ya ndoa anaweza akajikuta hana uwezo wa kumshauri mwenye ndoa ya siku 2 just bcoz hana uzoefu wa aina ya maisha au mahusiano ya wanandoa wengine.

Wanaume hatuhitaji kufanyiwa kitchen party ila tunatakiwa kuchukua jukumu la kujifunza maisha kwa kutumia common sense!
 
Back
Top Bottom