🤣🤣🤣🤣Kumbe ulikua hujaolewa bado? si ungemuomba jiwe akuozeshe mwanae mmoja yule bonge ili sehemu ya familia.
jiwe limechana mkeka wa mataga huyu 🤣 🤣Nakuona unakuja kivingine kujisahulisha Jiwe.
Huyu siasa za Lumumba zilimchelewesha alikuwa anakesha Mitandaoni kumtukana NgoyaiHii mada ilitakiwa iletwe na watoto wa 20's!! Sasa mtu mzima kama wewe unakuja na mada ya kitoto hivi! Tatizo ni nini hasa? Unataka kuniambia mpaka muda huu bado tu hujaoa/hujaolewa?
Mwendazake Magu hayupo huyu mama Mama bado hawajamwelewa vizuriNaona wanasiasa mnaparurana hadi huku MMU. Rudini jukwaani kwenu mkatoane macho!