Jinsi ya kumiliki Michepuko

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,288
Ningependa kushea nanyi njia sahihi na makini ili kulinda ndoa yako dhidi ya michepuko, Hususani kwa wanaume.

Wanaume wengi wanatabia ya kuiga mambo na kusahau kuwa hayo mambo yana utaalam wake na skills zake.

Kama wewe ni mwanaume umeoa na unajijua kabisa huyo mkeo wako ulimpata kibahati bahati na ulikua sio ujanja wako kumpata, yaani ulitafutiwa na wazazi, au mwanamke mwenyewe alijirahisisha tu kwako nk nakushauri michepuko achana nayo utatesa wanao na familia yako bure .

Kama mjuavyo michepuko ni kwa ajiri ya starehe zetu binafsi hivyo basi ni jikumu lako kuhakikisha starehe yako isiwe kero kwa wengine.

1; hakikisha mchepuko wako upo mbali na mkeo na marafiki wa mkeo.

2; hakikisha mchepuko anajua kuwa umeoa na unafamilia.

3; hakikisha mchepuko anafuatilia ratiba zako vizuri muda gani awasiliane na wewe na hapa inatakiwa uwe mkali na makini sana.

4; Usisave namba ya mchepuko kwa majina isave hiyo namba kwa namba. Yaani tafuta namba ya simu nyingine tu hata ya taasisi fulani kama shule nk , hiyo namba ndio iwe jina la mchepuko mfano: namba ya mchepuko ni 0762042942.....basi jina liwe ni namba hii 0628294296. Hapa hata mkeo Akija kuona hiyo namba unawasiliana nayo sana basi atachukua namba hiyo ambayo itakua inakuja kama jina na sio namba ya mchepuko hivyo akipiga atakuta inapokelewa na headmaster au Ofisi za takukuru huko na atajiona fala...

5: hakikisha mchepuko ni for the special mission, ukilegeza anakupa majukumu ya kuwa baba.

6; hakikisha mchepuko hajui chochote kuhusu familia yako zaidi ya wewe tu. Hapa ili kuiprotect familia.

7; hakikisha unajua a,b,c za kuwekewe limbwata kama mchepuko kujua jina la mama yako, kubaki na Baadhi ya nguo zako, kukataa kufuliwa nguo zako au hata kuzisogelea na kuzishikashika maana hawakawii kuondoka na kinyuzi nk

8: ............

9; mtaongezea Wenyewe msipende kutafuniwa kila vitu.

NB
Mchepuko ni kwa ajiri yako wewe hivyo hakikisha athari utakazo Zipata hazifiki kwenye familia mke ba watoto. Ni jukumu lako kulinda familia yako.
 
c1157ba2-b3eb-497c-9572-bc82aa48c35f.jpg
 
No 10 usiwe na mchepuko
 
Naongezea moja ambalo ni la muhimu sana.

Usipende kumuita mchepuko wako kwa jina lake, hata mnapokuwa pamoja. Ondoa hayo mazoea. Tumia common lovers name like "mpenzi, honey, baby nk, vinginevyo kuna siku utaliita jina lake ukiwa na mkeo
 
11, hakikisha mchepuko haujui unapoishi, Hana namba ya mkeo Wala mtu wako wa karibu.
Nb: namba 4 iingizwe kwenye mitaala ifundishwe chuo kikuu
Namba nne mbona ya kawaida sana ila naona wadau wameipenda mno
 
Ningependa kushea nanyi njia sahihi na makini ili kulinda ndoa yako dhidi ya michepuko, Hususani kwa wanaume.

Wanaume wengi wanatabia ya kuiga mambo na kusahau kuwa hayo mambo yana utaalam wake na skills zake.

Kama wewe ni mwanaume umeoa na unajijua kabisa huyo mkeo wako ulimpata kibahati bahati na ulikua sio ujanja wako kumpata, yaani ulitafutiwa na wazazi, au mwanamke mwenyewe alijirahisisha tu kwako nk nakushauri michepuko achana nayo utatesa wanao na familia yako bure .

Kama mjuavyo michepuko ni kwa ajiri ya starehe zetu binafsi hivyo basi ni jikumu lako kuhakikisha starehe yako isiwe kero kwa wengine.

1; hakikisha mchepuko wako upo mbali na mkeo na marafiki wa mkeo.

2; hakikisha mchepuko anajua kuwa umeoa na unafamilia.

3; hakikisha mchepuko anafuatilia ratiba zako vizuri muda gani awasiliane na wewe na hapa inatakiwa uwe mkali na makini sana.

4; Usisave namba ya mchepuko kwa majina isave hiyo namba kwa namba. Yaani tafuta namba ya simu nyingine tu hata ya taasisi fulani kama shule nk , hiyo namba ndio iwe jina la mchepuko mfano: namba ya mchepuko ni 0762042942.....basi jina liwe ni namba hii 0628294296. Hapa hata mkeo Akija kuona hiyo namba unawasiliana nayo sana basi atachukua namba hiyo ambayo itakua inakuja kama jina na sio namba ya mchepuko hivyo akipiga atakuta inapokelewa na headmaster au Ofisi za takukuru huko na atajiona fala...

5: hakikisha mchepuko ni for the special mission, ukilegeza anakupa majukumu ya kuwa baba.

6; hakikisha mchepuko hajui chochote kuhusu familia yako zaidi ya wewe tu. Hapa ili kuiprotect familia.

7; hakikisha unajua a,b,c za kuwekewe limbwata kama mchepuko kujua jina la mama yako, kubaki na Baadhi ya nguo zako, kukataa kufuliwa nguo zako au hata kuzisogelea na kuzishikashika maana hawakawii kuondoka na kinyuzi nk

8: ............

9; mtaongezea Wenyewe msipende kutafuniwa kila vitu.

NB
Mchepuko ni kwa ajiri yako wewe hivyo hakikisha athari utakazo Zipata hazifiki kwenye familia mke ba watoto. Ni jukumu lako kulinda familia yako.
Mkuu umezingua umevujisha siri no 4.
 
Back
Top Bottom