kwa wanaume tu

Kitumbua ndo nini ?

ni chakula kinaandaliwa kwa kutumia mchele uliosagwa na kuumuliwa then unakichoma kwa mafuta. huwa ni vitamu sana hasa vinapokuwa vya moto na vinafaa kuliwa kama kitafunwa na chai juice au hata soda lakini hasa chai.
 
Bila hiyana mimi ni mmoja wapo mpenzi wa kitumbua kilichovimba ninaweza nikala kila siku bila kukinahi, wallahi ni kitamu, wacha mumeo akusifie
 
Dada,
kwa kuwa una mtandao,jaribu ku google "Camel toe"....wanaume wengi wanaipenda sana hiyo,mimi ni mmojawapo
 
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM
Teh teh teeh teeeeeh dada Kekea fataki huyooooooooooo kazi ni kwako.
 
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM
uneanza! Find u'rs plz.
 
Tehe tehe tehe

The way the cookie crumbles...

Dada, the one you have presented this thread, ia as if you are advertising kitumbua chako...... haya ngoja uone majamaa makware, umeyapumbua macho!

Bora mimi sijasema!
 
hebu weka picha tuthaminishe hiyo mbumbua...

Mambo hayo!

Yq11EuuV8ycAAAAASUVORK5CYII=
 
Biashara matangazo....

Sorry i meant HONGERA!
Khaa!

Kwani umeulizwa wewe? Tumeulizwa wanaume, unajibu wewe!

Kwa mtoa hoja: Kitumbua kikituna......wacha kabisa manake chombo kinaingia utamuuuu afu joto lake balaa!
 
hodi hodi waungwana
napenda mnijuze jambo hili
nimeolewa na nina miaka kadhaa katika ndoa yangu....kuna jambo nataka niwe clear ....mume wangu mara nyingi amekua akinisifia kuwa 'kitumbua changu kimeumuka sana ...na anadai wanaume hupenda hali hiyo.... nikimuuliza kwanini hana straight forward answer ama anaishia kusema ni vizuri tu kuwa na umbile hili na lina raha yake.....

1) je ni kweli wanaume wanafurahia hali hii au maumbile haya? KWANINI?

mume wangu ni mwanaume wangu wa kwanza (uhusiano wa kimapenzi) so nakosa reference yakujiridhisha na jambo hili
nijuzeni waungwana
I think there is sand in your shoe.....so do this my friend..
YouTube - ‪Anastazia Mukabwa & Rose Muhando - Kiatu Kivue‬‏
 
tuambie basi ni ushauri gani waona unafaa kwani wazo langu la kutuwekea picha limegonga mwamba.
I was curious kujua ukweli wa jambo hili ukizingatia kuwa ni sensitive sana kwa namna yoyote haiwezekani kumuuliza mtu swali la aina hii katika face to face conversation kwa iyo nikaona ni bora kutumia jukwaa hili lenye weledi wa fani mbalimbali kunijuza, maana niliamini objectivity itakuwa ashuadi
Pili wanaume walikuwa target population yangu kwa sababu nilijua kuwa baadhi yao wame experience jambo hili..kwa iyo hawatasema jambo waliosimuliwa au kuhisi tu, watatoa mchango from their own experience. Nachukua nafasi hii kuwaomba radhi wanawake kwa kutowa ingiza kwenye sample hii si kwa sababu sithamini michango yao, bali nilifahamu nao huenda wana experience the samething na hawana hakika ya ukweli au uwongo huu, so nao niliwafanya wawe audience wasilikize wanaume wanatuwazia nini katika hili. Lakini ninakiri kufurahishwa na michango yao walioito na ninaithamini.
Tatu, swali hili halikuwa na jibu la uwongo au la ukweli, yote kwangu pamoja na critics yalikuwa na maana katika utafiti wangu. Ninajua kuwa wanadamu wana perception tofauti, wapo wanaodhani embe ni tunda best na wanaoona si tunda zuri, kitafiti, jibu moja likijirudia rudia mara nyingi hasa ukitumia aina tofauti ya interviews (uki triangulate data) kuna possibility lina ukweli. Na kwa sababu qualitative data haihitaji population kubwa kushiriki, kwa hayo machache mliyoyatoa tayari nilipata muelekeo wa jibu langu. Critics pia zilikuwa muhimu kushape thinking yangu juu ya jambo hili
Nne, narudia kwamba, nawashukuru wote kwa yote, ila wale waliodhani (kwa bahati mbaya) kuwa natangaza biashara nasikitika kuwajuza kuwa hawakuelewa nia yangu njema ya kutambua ukweli wa hili jambo ambalo nimekuwa nikiambiwa na mume wangu mara kwa mara. Naruadia tena nilikuwa curious tu kujua siri hii na sina lengo lolote zaidi ya hili, naomba nihukumiwe kwa dhamira hii ya kuwa wazi katika sensitive ishu hadharani na si vinginenvyo. Na nilileta hii mada hapa nikijua kuwa nitashauriwa na great thinkers kamwe sikuwahi kudhani kuwa jamii forums ni sehemu ya kutangaza biashara zisizofaa.

asanteni sana great thinkers
 
Kelea,

Nakupongeza sana kwa ujarisi na uungwana wako. Kufanya hitimisho kama hili inahitaji watu makini sana na kuanzia leo hata wewe unajichukulia nafasi miongoni mwa watu wa kariba hiyo.

Ila kama ungeanza na maelezo mazuri kiasi hiki...naamini usingekumbana na majibu mengine ya hovyo uliyokutana nayo. Hata hivyo inaonekana wewe ni mweledi wa mambo ya utafiti na kwa hiyo uwezo wako wa kuhimiri karaha umejionesha wazi.

Ubarikiwe sana na ukitunze vizuri hicho kitumbua kwani ni zawadi adimu kutoka kwa Muumba. Pia usijaribu hata siku moja kufanya sampling kwani unaweza kupotelea huko kabisa kama vile inzi anavyonasa kwenye utando wa buibui!
 
  • Thanks
Reactions: CPU
Back
Top Bottom