kwa wanaume tu

kelea

Member
Jun 22, 2011
5
3
hodi hodi waungwana
napenda mnijuze jambo hili
nimeolewa na nina miaka kadhaa katika ndoa yangu....kuna jambo nataka niwe clear ....mume wangu mara nyingi amekua akinisifia kuwa 'kitumbua changu kimeumuka sana ...na anadai wanaume hupenda hali hiyo.... nikimuuliza kwanini hana straight forward answer ama anaishia kusema ni vizuri tu kuwa na umbile hili na lina raha yake.....

1) je ni kweli wanaume wanafurahia hali hii au maumbile haya? KWANINI?

mume wangu ni mwanaume wangu wa kwanza (uhusiano wa kimapenzi) so nakosa reference yakujiridhisha na jambo hili
nijuzeni waungwana
 
Kila mwanaume ana lake analopendea ktk mwili wa mwanamke.
Yeye inawezekana ametumia "WANAUME WENGI WANAPENDA HIVI" ili ujitambue thamani yako kama mwanamke, au kwa lengo kwamba, wewe ndio waifu wake, lazima akusifie ili ujisikie raha (Nani hapendi sifa??) au ni kweli baadhi ya wanaume alioongea nao wanapenda hali hiyo.

Sio kila mwanaume anaangalia huko kama sehemu ya kumsifia mwanamke, wengine hawajali huko kulivyo bali wanaangalia sehemu kama kifuani, midomo n.k
 
Kwa nini unataka kujua kama na sisi wengine tunapenda kitumbua chako Honey? Jambo muhimu furahia kwamba jamaa yako anafurahia umbile lako. Kwa wenye akili timamu hicho tayari ni muhimu kuliko kujua kama wapo wengine wanaopenda umbile hilo au la. Au unataka kuanza kumnyanyasa kisa unadhani na wengine watapenda umbile hilo? Be careful kabla hujaingia mkenge buuure....!
Don't be stupid Darling! Inawezekana kweli wapo wengi au wachache wanapenda maumbile hayo lakini kwa mwanamke aliyeolewa sijui kama kuna chochote inakusaidia.
Kwanza ujue watu tunatofautiana sana. Anachopenda mumeo si lazima kipendwe na wanaume wengine pia. Ushauri wangu: Tulia upendwe, ukianza mapepe hakawii kukutafutia mwenye kitumbua kikubwa zaidi ili mshindanie penzi lake. Usiseme hatukukwambia!
 
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM
 
sasa bi dada mambo ya chumbani wote tukiyaleta huku si vurugu jamani...manake sishangai kesho mwingine akaja na "kwa wanawake tu" na maada ikawa mke wangu analalamika sijui kunanihiii...ili iweje?
 
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM

Naona ndo alichotaka kuambiwa... nashukuru kwa kuyasoma mawazo yake
 
Kwa nini unataka kujua kama na sisi wengine tunapenda kitumbua chako Honey? Jambo muhimu furahia kwamba jamaa yako anafurahia umbile lako. Kwa wenye akili timamu hicho tayari ni muhimu kuliko kujua kama wapo wengine wanaopenda umbile hilo au la. Au unataka kuanza kumnyanyasa kisa unadhani na wengine watapenda umbile hilo? Be careful kabla hujaingia mkenge buuure....!Don't be stupid Darling! Inawezekana kweli wapo wengi au wachache wanapenda maumbile hayo lakini kwa mwanamke aliyeolewa sijui kama kuna chochote inakusaidia. Kwanza ujue watu tunatofautiana sana. Anachopenda mumeo si lazima kipendwe na wanaume wengine pia. Ushauri wangu: Tulia upendwe, ukianza mapepe hakawii kukutafutia mwenye kitumbua kikubwa zaidi ili mshindanie penzi lake. Usiseme hatukukwambia!
Analyst usimu overdose dada watu inatosha na huo ndo ukweli wenyewe
 
Dada kelea,hakika wanaume wengi nikiwemo mimi,tunapenda kitumbua kikubwa(kilichovimba),kina utamu wake walahi!ni kitumbua ambacho hakijaliwa na watu wengi,thus inakuwa katika natural state.NINA MENGI YA KUKUELEZA PLS NI PM

Fataki bana, hachelewi . . . .
 
  1. kama kitumbua chako kimevimba ujue kumejaa maji na si vinginevyo sasa kwa vile mumeo hataki kuweka wazi bayana ujue anakukejeli tu.
 
Back
Top Bottom