kwa wanaume...swali kusuka au kunyoa

kwa wanaume...swali kusuka au kunyoa

mimi nimenyoa ..ila ninataka kusuka ila mpenzi wangu hataki anadai napendeza kunyoa ila mimi naona sijapendeza sijui anaogopa mizinga ya saluni

we mfanyie tu hicho anachotaka, hilo la mizinga inaweza isiwe sababu yeye atakuwa anapenda unyoe, na humu hutapata ushauri mzuri zaidi ya huo wa huyo umpendaye
 
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.

..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba

waweza kuwa na nywele ndefu au fupi ila zisiwe nadhifu, kinachotakiwa ni unadhifu na usafu wa hizo nywele, na ikiwa ni wigi, ah sio kila wingi linampndeza wewe wangu haya mambo au haya sijui maweaving sijui nini.
Me I love dread but lazima ziwe safi sio zimekuwa nyekunduuu...
 
we mfanyie tu hicho anachotaka, hilo la mizinga inaweza isiwe sababu yeye atakuwa anapenda unyoe, na humu hutapata ushauri mzuri zaidi ya huo wa huyo umpendaye
mmmh hivi unajua mizinga ya saluni wewe?
 
waweza kuwa na nywele ndefu au fupi ila zisiwe nadhifu, kinachotakiwa ni unadhifu na usafu wa hizo nywele, na ikiwa ni wigi, ah sio kila wingi linampndeza wewe wangu haya mambo au haya sijui maweaving sijui nini.
Me I love dread but lazima ziwe safi sio zimekuwa nyekunduuu...
wewe unapenda dread naona....ngoja niweke
 
Mimi sio baba but I can tell you most men don't like wigs and weaves.
Bora rasta za kusuka, au rasta zile za dreadlocks (but ziwe safi )
The better is of course natural hair. Kama fupi ziwe a nice cut

070607_berry_300X400.jpg

Steve harvey....................!!!!!!!

CC: EMT
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Mimi sio baba but I can tell you most men don't like wigs and weaves.
Bora rasta za kusuka, au rasta zile za dreadlocks (but ziwe safi )
The better is of course natural hair. Kama fupi ziwe a nice cut

070607_berry_300X400.jpg

Steve Harvey

CC: EMT
 
Last edited by a moderator:
Binafsi napendelea nywele za àsili ndefu kiasi kwa sababu napenda kuzichezea. Sipendi zilizosokotwa kwani hamna raha kugusa matuta.
 
asili u mean zisiwe na dawa sio?
 
Back
Top Bottom