jouneGwalu
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,696
- 1,806
Mmoja aliwahi kusema anavutiwa na wenye kuwa na nyweli fupi au vipara
Hilo jibu linanitesa hadi leo.
.....Sore ni kwa wanaume kumbe.
Hahahaha Bi mkubwa bwana!
Eti linakutesa hadi leo, mweh...
Yaani wanawake mna mambo yenu aisee.