kwa wanaume...swali kusuka au kunyoa

kwa wanaume...swali kusuka au kunyoa

Napenda ndefu....shoulder length...zaidi ya hapo ziwe natural ama kusuka au za kuchana...LAKINI ....no weavings or wigs or dreads
 
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.

..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba

Wigi ni uchafu. Rasta au nywele zilizotunzwa vema ndio mpango mzima. Upara unaashiria usagaji!
 

Bado najiuliza mpaka sasa hizi ni nywele za wapi?
Kunako? Kwapani? Kichwani au......?
Maana siku hizi style za nywele sehemu zote hizo zipo kasoro wigi la kwapani na kunako ila soon yatatolewa mawigi ya sehemu hezu ................!:A S wink::A S wink:
 
Mwenye nywele fupi......
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.

..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba
 
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.

..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
Au alievaa wigi?
Be honest....kina baba

rangi nyekundu ni 99%
rangi blue 70%
rangi zambarao 50%
rangi nyeusi ni 0.01%
 
Looking for kipara..damn iko kumwonga dunia
 
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.

..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba

kiduku...
 
elewa kwamba kila m2 ana staili yake inayomtoa chicha.... kwangu mim sitotajali kama ana rasta au whatever ninataka awe na mvuto na ani impress
Unataka upewe majibu alafu ubadili style ya nywele zako, naanza mimi kukupa jibu, kwa kifupi kila mwanaume ana achopendelea juu hivyo ulivyosema , kwa hiyo usitegemee kupata jibu moja, but endelea kusubiri watakuja wengine wakupe jibu
 
BUNDLE u got me,na unipe kila kitu sasa :majani7:
za urefu gani labda?

good, t seems zako zina ka urefu ka kawaida tu yaan za kushikika na kuchezea chezea mixer kuzi enjoy, yasiwe mareeeefka rasta... . HAPO NI KARIBU KWANGU UPEWE DUNIA NYINGINEE Aza
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom