AFRICAN BOY
Member
- Jan 30, 2013
- 64
- 6
kila mwanaume anapenda mtindo wa aina yake,mf mm huwa napenda mweny nywele ndefu kipala nitampeleka wapi jamani?
Mimi sio baba but I can tell you most men don't like wigs and weaves.
Bora rasta za kusuka, au rasta zile za dreadlocks (but ziwe safi )
The better is of course natural hair. Kama fupi ziwe a nice cut
![]()
Mi napenda aliesuka Rasta lol hoi mie jamaninaombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.
..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba
naombeni muwe wakweli
mnavutiwa na mwanamke yupi
mwenye upara
,au nywele fupi.
..au mwenye nywele ndefu.
..aliesuka rasta au weavings
au mwenye dread?
au alievaa wigi?
be honest....kina baba
siku hazifanani dear...kuna saa unafulia