mhhhhhhhh!!!Why nywele? ningetemea utauliza kuhusu vayjavy
kwenye pilau au biriani, cha muhimu ni mchele, viungo hata viwe vizuri vipi ukichanganya na unga haitakuwa pilau.
mimi nimenyoa ..ila ninataka kusuka ila mpenzi wangu hataki anadai napendeza kunyoa ila mimi naona sijapendeza sijui anaogopa mizinga ya saluniUnataka upewe majibu alafu ubadili style ya nywele zako, naanza mimi kukupa jibu, kwa kifupi kila mwanaume ana achopendelea juu hivyo ulivyosema , kwa hiyo usitegemee kupata jibu moja, but endelea kusubiri watakuja wengine wakupe jibu
mmmh....so vyovyote sio?...ila nasikia maweaving hawayapendi yana mende sanaWhy nywele? ningetemea utauliza kuhusu vayjavy
kwenye pilau au biriani, cha muhimu ni mchele, viungo hata viwe vizuri vipi ukichanganya na unga haitakuwa pilau.
Mimi sio baba but I can tell you most men don't like wigs and weaves.
Bora rasta za kusuka, au rasta zile za dreadlocks (but ziwe safi )
The better is of course natural hair. Kama fupi ziwe a nice cut
![]()
hapo ndio jibu sahihi usitafute mchawimimi nimenyoa ..ila ninataka kusuka ila mpenzi wangu hataki anadai napendeza kunyoa ila mimi naona sijapendeza sijui anaogopa mizinga ya saluni
kuna siku lazima upige mzinga....siku hazifanani..smile na ujanja wako wote bado unaomba omba za kwenda saluni?
probably because usafi wake challenging...kwa nini hawapendi weaving mwali?
We Mamndenyi Usitafute kuvunja ndoa yako... Wengine si huwa tunatunza siri sana... SI WAROPOKAJI.... Unataka niseme halafu uje unilaumu siku sijazo.Ngalikihinja hapa tunakwenda sawa.
Ulinifahamia wapi?