Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,615
- 38,589
Unafanya biashara gani?Hii biashara miyeyusho Sana , issue ni moja Tu worksmart earn more na hapa ndo akli inatakiwa ufanye kaz ..biashara gani kila sku unakuwa na shati moja limejaa unga ..Mimi hamna wakuu, hii biashara inafaa wazee waliofikia umri wa kufunga mahesabu just wanatafuta hela ya Kula mana washajenga washasomesha na mambo mengi ya msingi wamefanya .... Kijana unatakiwa upige show za kibabe unakunja hata 500000 Kwa wiki siyo mbaya....
Ifikie hatua mazingira yasituendeshe Sana Bali Sisi ndo tuyabadili mazingira yaendane na tunachokitaka ...