Kwa wanaosema biashara ya duka haina faida, soma hapa tafadhali

ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2015
Messages
2,151
Points
2,000
ikipendaroho

ikipendaroho

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2015
2,151 2,000
Inategemea na mzunguko wako.....ukiuza soda pia uwe na friji zuri...wateja hupenda soda zile baridi kweli...ndo hua nnachowakamatia hapo...nina kreti sita....ila ndan ya siku 2 kreti 3 tyr zmeisha

Sent using Jamii Forums mobile app
Crate 3 faida ni 2,500x3=7,500. Umeme wa siku 2 hizo ni 2,500 unabakiwa na 5,000÷2=2,500 kwa siku kwenye soda.

Kwa hesabu ya haraka haraka uwe na items kama 30 zinazokupa faida ya 2,500 kwa siku. 2,500x30 = 75,0000. Sio mbaya!
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
553
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
553 500

Ndiyo ivoo sasa ni ngumu sana kuuza vyote vikamove labda upate location au iyo 75,000 uliyozidisha sifuri najua ulimaanisha 75,000 wewe weka 40,000 ndo iwe faida yako au 30,000
 
Tape measure

Tape measure

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2015
Messages
955
Points
1,000
Tape measure

Tape measure

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2015
955 1,000
kwenye Duka ukiibia ukawa unauza na vilevi kidogo mfano k vant, shimma, konyagi na vibia faida lazima ionekane mfano kwa sasa kreti moja ya bia serengeti ndogO faida ni 6,000 na kwenye Duka unaanza kuuza izo pombe tokea adubuhi kwani wanywaji hukunywa kwa kujificha Kama gongo ama bangi kwa mtaji wa 1m kupata faida ya 15k mpaka 20 kwa siku ni kawaida sana na haitaji uende kwa sangomaaa
Nimefanya sana hiyo biashara pale Mlandizi jirani na Bar ya Kauli ya Bibi, kikubwa ni lazima ukae mwenyewe dukani au mkeo, vinginevyo utapigwa tu. Mimi nilikosa usimamizi sababu naishi Kimara kazi nafanya mjini, kule nakwenda wikendi tu, mwisho wa siku nikaamua kuliuza duka kwa jamaa. Lakini ukweli ni kwamba inalipa sana ukiwa mwenyewe, pia niliweka na vibia viwili basi mwendo ulikuwa oya oya tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
553
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
553 500
kwenye Duka ukiibia ukawa unauza na vilevi kidogo mfano k vant, shimma, konyagi na vibia faida lazima ionekane mfano kwa sasa kreti moja ya bia serengeti ndogO faida ni 6,000 na kwenye Duka unaanza kuuza izo pombe tokea adubuhi kwani wanywaji hukunywa kwa kujificha Kama gongo ama bangi kwa mtaji wa 1m kupata faida ya 15k mpaka 20 kwa siku ni kawaida sana na haitaji uende kwa sangomaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂 Unaweka venue japo amna wateja ninao wachukia kama wa vibia bia, wana kero.
 
hazard Don

hazard Don

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2017
Messages
305
Points
250
hazard Don

hazard Don

JF-Expert Member
Joined Oct 9, 2017
305 250
Biashara zote zinalipa tena sana. Kinachotakiwa ni kuzalisha Zaidi ya matumizi.
Eg. Unatumia 150,000/= kwa mwezi inatakiwa uzalishe Zaidi ya hapo ili upate kiasi cha kusave kwa ajili ya maendeleo mengine.
Hata kama unauza magari kama hausave unafilisika tu.
Population ,capital,service ,policies ni mambo yanayochangia kustawi au kutostawi biashara.
Kuna taratibu za uanzishaji wa biashara inabidi zifuatwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
553
Points
500
Okimangi

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
553 500
Biashara zote zinalipa tena sana. Kinachotakiwa ni kuzalisha Zaidi ya matumizi.
Eg. Unatumia 150,000/= kwa mwezi inatakiwa uzalishe Zaidi ya hapo ili upate kiasi cha kusave kwa ajili ya maendeleo mengine.
Hata kama unauza magari kama hausave unafilisika tu.
Population ,capital,service ,policies ni mambo yanayochangia kustawi au kutostawi biashara.
Kuna taratibu za uanzishaji wa biashara inabidi zifuatwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kodi ya serikali inaingia wapi Kati ya factors ulizotaja
 
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2017
Messages
1,807
Points
2,000
financial services

financial services

JF-Expert Member
Joined May 17, 2017
1,807 2,000
Duka la Home nlikuaga kila nkiingia natoka na vocha..Mama nae akitaka vocha anakwambia Nikopesheni vocha...Baba nae Nikopesheni...Mwendo huo kilichofwata lile duka saivi ni chumba cha dada wa kazi.
umenichekesha aisee,milikua mnajikopesha familia nzima

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtemi wa Watemi

Mtemi wa Watemi

Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
17
Points
45
Mtemi wa Watemi

Mtemi wa Watemi

Member
Joined Mar 28, 2017
17 45
Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
chalii kwa huu utaratibu wako hata mshahara wa milioni 2 utakuwa haukutani hahahahah!! mi nadhani cha msingi hesabu zifanyike kwa mwezi tu. Uuze duka na ujitahidi kuishi kulingana na faida yako ya mwisho wa mwezi na hapo ni busara mtu ukaliendesha duka angalau miezi 6 ya mwanzo bila kutegemea faida yake. watu wanaishi, somesha na kujenga kwa duka
 
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,246
Points
2,000
Age
36
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,246 2,000
Duka la reja linalipa sana, hasa ukiwa na mauzo sio chini ya laki4 mpaka 6, na uwe unakaa hapo mwenyewe baada ya miaka mitano upo mbali sanaaa,
Nimeifanya sana hadi sasa ila madogo ndio wanazingua kinyama
 
Ulirchdov

Ulirchdov

Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
73
Points
125
Ulirchdov

Ulirchdov

Member
Joined Apr 4, 2019
73 125
Nimefanya sana hiyo biashara pale Mlandizi jirani na Bar ya Kauli ya Bibi, kikubwa ni lazima ukae mwenyewe dukani au mkeo, vinginevyo utapigwa tu. Mimi nilikosa usimamizi sababu naishi Kimara kazi nafanya mjini, kule nakwenda wikendi tu, mwisho wa siku nikaamua kuliuza duka kwa jamaa. Lakini ukweli ni kwamba inalipa sana ukiwa mwenyewe, pia niliweka na vibia viwili basi mwendo ulikuwa oya oya tu.
Ni ukweli usiopingika mkuu, umenena vyema sana
 
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2012
Messages
2,243
Points
2,000
chuma cha reli

chuma cha reli

JF-Expert Member
Joined Jul 2, 2012
2,243 2,000
Hii wanaweza wasambaa na wapemba siku izi maana hata hao wachaga wengi naona zinawashinda
 
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
1,516
Points
2,000
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
1,516 2,000
Ila kumbuka siku ukinywa bia kama tano ni 2000 X 5= 10,000/: ukila na kitimoto kilo moja na ndizi ni 12,000/: hapo utakua na demu nae atakunywa santiana au dompo 15,000/: ukitoka hapo ingia gesti ya bei rahisi ya 20,000/: mtoe demu asibuhi na hata 20,000/: utakuta umekula creti la pepsi,kreti la coca,paketi za sigara,pampers zisizohesabika, viberiti mabunda kadhaa nk. Kazi ya kuuza duka hata ukila mchana ujue shelfu itakutizama. Munisamehe

Sent using Jamii Forums mobile app
We mchaga gani sio bahili?
 
python1

python1

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Messages
299
Points
250
python1

python1

JF-Expert Member
Joined Jun 13, 2017
299 250
mkuu hizi bidhaa unaziuza kwa muda gani? soda crate 1 unauza wiki 2, muda huo umeshatumia zaidi ya 20k faida iko wap
Kwan unauza soda tu , kuna bidhaa Zaid ya 100 so kila bidhaa ikikupa ~250 una 25000 kwa siku cha msingi ni kujitaid kuweka bidhaa nyingi zaid ili mteja akija aruki
 
Forum statistics

Threads 1,285,933
Members 494,834
Posts 30,879,390
Top