Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Hahahah!!

Kila mbuyu na shetani wake rafiki, mimi na mke wangu huwa hatuendi trip kila mtu na njia yake...njia yake njia yangu na njia yangu njia yake.

Hivyo mimi nashauri muwachukue na waume zenu hakika hiyo road trip itakuwa poa zaidi

hahahah mpwa wanataka kuutenganisha mwili mmoja kwa panga la tripu.

stuka mpwa.... think!!!!
 
Say NO to the trip kwa usalama wa ndoa zetu!!!!

Loh! Jamani wewe ndo unaharibu kabisaaaaa! Mbona siye tunawaruhusu kila siku vikao vyenu vya jioni visivyoisha??? Embu fanyeni wazo la TANMO Halafu tutakutana kwa Kagame au vipi???
 
Last edited by a moderator:
True, ila sema mie mwoga kuji-unmask sijui nina pembe la jang'ombe.Nsije nikauramba mwiko bure.

Mie interest yangu ilikuwa Zambia, Malawi, Zim, Botswana, SA afu pipaa home.

Mkiwa wengi mnakodi kabisa gari, cost effectice na security.

jamani Kongosho kujifunua sio lazima, sidhani kama tutahitaji zaidi ya sura na first name. It will be fun kwa kweli tukiifanikisha. Kuhusu usafiri ninaimani twaweza tumia vjigari vyetu, say Fixed Point akija na Prado yake kutakuwa na nafasi ya wamama wengine 4 mmoja akiwa co driver. gfsonwin naye akija na Rav4 yake then idadi inaongezeka.

Hiyo south trip nami nikikuwa naifikiria sana, ngoja tuanze kwanza na hii ya jirani. Halafu hiyo ya South as you suggested inafaa public transport ili wakati wa kurudi turudi na fast jet. I am all games to hii pia.

Lets go bwana.......
 
Last edited by a moderator:
Dats gud idea.....ila kwa mie mjasiliamali ntaifurahia sana hiyo trip. ...
Ila mbali as holiday treasure me nafikiria tupate na chance zaidi ya kujua what kind of business tunaweza kufanya kupitia nchi hizo.
Wanawake tunaweza....

Umeona eeh, nimepata hiyo mixing ya business na pleasure. Ngoja tuone watakakao kuwa serious then tufanye estimates
 
Umeona eeh, nimepata hiyo mixing ya business na pleasure. Ngoja tuone watakakao kuwa serious then tufanye estimates

Kabisa...me wa kwanza niko tayari.
Tatizo wanawake wengi ni waoga kutembea nchi wasizozijua ila tukiwa na ushirikiano kila kitu kitaenda sawa ,waiting. ....
 
oh! Ni kweli itakuwa poa,ila hiyo na waume zetu itakuwa ni ya wanandoa na tutakuwa tumewatenga single ladies siye tunataka ya ladies only haijalishi ni married au unmarried.

I doubt kama kuna mama mwanandoa atayepewa ruksa ya namna hiyo na mume...

Sijui!!!
 
Natumaini mko vizuri.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then tunarudi kupitia Kigoma. Ninaamini by that time barabara ya Kigoma to Mamyoni itakuwa almost complete.
In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na JF members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......

Uzuri wa hii project muwe wachache, kama watano hivi, halafu muanzie Tanzania kama pilot study

Ikienda vizuri, mnajua mjipangaje kwa next time na muende wapi.

Inawezekana Kaunga
 
Last edited by a moderator:
I doubt kama kuna mama mwanandoa atayepewa ruksa ya namna hiyo na mume...

Sijui!!!

Kuna wanaume wengine wana mioyo ya pekee mpwa. na wengine hawana kauli juu ya wake zao.

Lakini kwa jinsi navyowajua wana JF, naogopa wataunga mkono wengi lakini mwisho wa siku Kaunga atajikuta yuko peke yake. Hapa nazungumzia kauzoefu kangu kadogo hapa JF na watu wake, especially wanawake..
 
Last edited by a moderator:
Kaunga this is a very good idea, but lazima tuwe na goals je is it for pleasure only or we can blend purposes like we are going for pleasure bu also we shld look at business opportunities, employment as well as investment?

to me, kuwa na malengo zaid ya kutembea sounds good manake kwanza ita vuta hisia za wengi, pili itakuwa na returns after a certain period of time. so itapunguza yale machungu hasa kwa wale wachumi.

i stand to be corrected.
 
Last edited by a moderator:
Naunga mkono hoja kwani itasaidia kujifunza mambo mengi na pia kutalii.
 
Natumaini mko vizuri.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then tunarudi kupitia Kigoma. Ninaamini by that time barabara ya Kigoma to Mamyoni itakuwa almost complete.
In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na JF members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......

how much will it cost?
 
Back
Top Bottom