Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

Kwa wamama/wanawake wa MMU na JF

True, ila sema mie mwoga kuji-unmask sijui nina pembe la jang'ombe.Nsije nikauramba mwiko bure.

Mie interest yangu ilikuwa Zambia, Malawi, Zim, Botswana, SA afu pipaa home.

Mkiwa wengi mnakodi kabisa gari, cost effectice na security.

Nitakusindikiza
Twende!!!!
 
Mmh!!

Kwa kadiri nielewavyo nadhani hii sredi imewalenga ninyi wamama/wanawake wa MMU na JF...

Kwa mantiki hiyo ninyi ndio wenye haki ya kuunga mkono, kutoa mawazo ya utekelezaji wa adhma hii n.k

Miye nilikuja 'spesifiki' kutoa hoja mbadala kulingana na post ya Babu pale juu...

Uwe na amani tu...

Naelewa ni ya wanawake tu ila usipinge kama babu yaani sema hivi na mimi naunga hoja wanawake wafanye trip hii na sisi wanaume tusiwawazie mabaya
 
Hili nalo neno.

Say No to the trip!!!![/QUOTE]

We babu wewe,hebu futa kauli hiyo,hujui ulimi unaumba?
Mtuache tukapunge upepo wa nchi za watu,labda concentration ya Carbondioxide in air huko ni ndogo so vichwa vitarudi clear na mipango ya maendeleo ya kumwaga!!!
 
Kale kanakofanana sijui na kaka yake yule? wote wanakwaya.

Kameolewa? haijalishi, njia kuu yako ni mchepuko kwa wengine.

aha! Nimeshakupata yule aliyesolo wimbo wa nitamshukuru Mungu,loh! So beautiful ila yuko very decent hakahitaj mwanaume mwenye mambo mengi yule inabidi achukuliwe jumla afichwe ndani.
 
aha! Nimeshakupata yule aliyesolo wimbo wa nitamshukuru Mungu,loh! So beautiful ila yuko very decent hakahitaj mwanaume mwenye mambo mengi yule inabidi achukuliwe jumla afichwe ndani.

Ndo nachotaka kumfanyia. lazima niutukuze uumbaji wa Mungu kwa vitendo.
 
Hili nalo neno.

Say No to the trip!!!![/QUOTE]

We babu wewe,hebu futa kauli hiyo,hujui ulimi unaumba?
Mtuache tukapunge upepo wa nchi za watu,labda concentration ya Carbondioxide in air huko ni ndogo so vichwa vitarudi clear na mipango ya maendeleo ya kumwaga!!!

umbuje wa homuboi tuna nini mimi na wewe?
 
Naelewa ni ya wanawake tu ila usipinge kama babu yaani sema hivi na mimi naunga hoja wanawake wafanye trip hii na sisi wanaume tusiwawazie mabaya

Hahahah!!

Kila mbuyu na shetani wake rafiki, mimi na mke wangu huwa hatuendi trip kila mtu na njia yake...njia yake njia yangu na njia yangu njia yake.

Hivyo mimi nashauri muwachukue na waume zenu hakika hiyo road trip itakuwa poa zaidi
 
Give us estimate budjet so as we will know how we should save ila nitaenda na mume wangu
 
True, kama waume is involved raha zaidi.

Ila kwa aliye single?

Hahahah!!

Kila mbuyu na shetani wake rafiki, mimi na mke wangu huwa hatuendi trip kila mtu na njia yake...njia yake njia yangu na njia yangu njia yake.

Hivyo mimi nashauri muwachukue na waume zenu hakika hiyo road trip itakuwa poa zaidi
 
Natumaini mko vizuri.
Nimekuwa nikiwaza kwa muda sasa; kwanini tusifanye saving ili mwakani tufanye a two weeks road trip kuzunguka East Africa? Tukianzia Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi then tunarudi kupitia Kigoma. Ninaamini by that time barabara ya Kigoma to Mamyoni itakuwa almost complete.
In every country tutembelee atleast exciting site au tourist attraction moja. I am sure in all 5 coutries kutakuwa na JF members wanaoweza kutuonesha vijiwe vya kula bata.

What do you think ladies? Lets go wild......

Dats gud idea.....ila kwa mie mjasiliamali ntaifurahia sana hiyo trip. ...
Ila mbali as holiday treasure me nafikiria tupate na chance zaidi ya kujua what kind of business tunaweza kufanya kupitia nchi hizo.
Wanawake tunaweza....
 
Hahahah!!

Kila mbuyu na shetani wake rafiki, mimi na mke wangu huwa hatuendi trip kila mtu na njia yake...njia yake njia yangu na njia yangu njia yake.

Hivyo mimi nashauri muwachukue na waume zenu hakika hiyo road trip itakuwa poa zaidi

oh! Ni kweli itakuwa poa,ila hiyo na waume zetu itakuwa ni ya wanandoa na tutakuwa tumewatenga single ladies siye tunataka ya ladies only haijalishi ni married au unmarried.
 
oh! Ni kweli itakuwa poa,ila hiyo na waume zetu itakuwa ni ya wanandoa na tutakuwa tumewatenga single ladies siye tunataka ya ladies only haijalishi ni married au unmarried.

Say NO to the trip kwa usalama wa ndoa zetu!!!!
 
True, kama waume is involved raha zaidi.

Ila kwa aliye single?

Umeonaa eh!!! Inabidi iwe ladies only wakafanye yao,halafu ndo ije trip ya married tena waende mbali kabisaaa!!!
 
Back
Top Bottom