Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,371
- 111,679
Pengine ni ngumu sana kuelewa niwazavyo, kwa tafsiri ya haraka ya nilichokiandika waweza ukadhani nina mawazo potofu lakini la hasha.
Post yangu ililenga mawazo kama yako kwa babu ODM kuwa kwa kadiri awazavyo nia isiyo njema kwa mkewe kama akienda trip pia asisahau kuwa mkewe naye anaweza kuwa na mawazo yasiyo mema pia.
Yaani akiweza kufikiria tu hivyo, basi hata kuchepuka atahofia kwa nia njema tu ya kumlinda mkewe.
Think Kaunga think...

You and your dirty minds. Be positive just this once, kwamba wamama wamejipa tour ili kusahau stress za kazi, nyumba na familia. Ni mara moja kwa life time na itarejuvenate mapenzi ya njia kuu. What if we learn about katerero enroute (of course kwa story tu na sio practise).
Last edited by a moderator: