wenye kalio woote wako marekan ule ubalozi ..anamwonaLilian Tairo namkumbuka sana. Alikuwa na tako balaa.
Nasikia yupo Marekani.
Siku hizi anaitwa Lilian Fisher nadhani
mama mbuya aalifarikiAliyekuwa Zanzibar Breeze Beach Club?
mmhDuh! duka letu nisilijuwe? Unanchekesha!
Wewe kweli punguani.
alinofanya nipende hesabu mpaka kifo kitakaponitenganishaNakumbuka Mwl. James ndio alitupeleka Bagamoyo for the first time.
R.I.P
Hivi kale ka-kibanda pale katikati ya shule chini, kalikuwa ka hali ya hewa au maana baadhi yetu tulikuwa tunakamata ndege na kwenda kuwafungia mule.
Utoto jama
nimemwibia sanaNa yule muuza pili getini tulikuwa tu nampa tabu sana wakati wa kutoka lazima tubutue biashara yake ....
uko hai badooohahahahahaha....shkamoo mkubwa.
shemeejiiinime msahau huyu dada jaqline ntabaile tulikuwa naye naye forodhan ......
Daaa HII SIKU MPWAA WANGU MUNGU AMLAZE PEMA PEPON...NAKUMBUKA BATA LA TOP GARAGE PAMOJA DAHHivi Steven yuko wapi now days nilimwonaga bar moja topgarage yuko njwaa anarushiana maneno na mkeeewe saa Saba maskinii huku vidosho vingine vinashangilia pembeni Steve mpehuyo mpe akalale asubiri cha nyumbani
He
Sikuelewa cha Nyumbani kipi
Ugeninii kikoje
Pdidy mwanetu Steve Msaki amemaliza safari yake apumzike kwa amani ila jambo jema ameacha mtoto kwa shemeji yetu CN.Daaa HII SIKU MPWAA WANGU MUNGU AMLAZE PEMA PEPON...NAKUMBUKA BATA LA TOP GARAGE PAMOJA DAH
dah aisseee nice one nisipokukuta mbinguni narudi mwamba uko vizuriAisee una kumbukumbu nzuri! Nilishamsahau mwl. Mchala. Mapera maziwa, hivi kwa kiingereza yanaitwaje? sijawahi kuyala tena toka nimalize Forodhani late 80's.
Sr. Edgara jamani, akikasirika alikuwa anaongea kikwao....nilikuwa nafurahia sana kwenda kule juu kushona.
Mwl. Tarimo nae alikuwa anafundisha Sayansi Kimu, tunaenda jikoni kujifunza kupika. Nakumbuka siku tulipika Sambusa....
Mw.Mohamed, she was my favorite teacher. Mwl wangu wa darasa nikiwa la nne, alikuwa anafundisha hesabu.
Mwl. Matata, ushepu balaa. Akigeuka kuandika ubaoni ni shidaaaa....alifundisha Kiswahili
Mwl. Bange, heasbu zimetulia pale.
Mwl. Nyalika, mwl wa English. Kuna siku nilikutana naye hazeeki......
Mwl. Nzige, Manyama, Shirima, Mbuya(RIP), Kauta, JJ, Msaki(mwl wangu darasa la kwanza), Sr. Kimathi, Mwalubandu, Barongo. dah, sitaisahau ile shule. Good memories kwa kweli....