Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

He kumbe nanwewe ni member wabforinino jamani Alex kafalini namkumbuka dadake vik

Me sijasoma enzi za huyo mtu.Sisi ndo wanafunzi wa darasa la saba wa mwisho then shule ndo ikarudishwa kwa kanisa....Nilisoma na walee wakina Ndege
 
Yaani ni hatari.....na ile lami iliyopigwa pale ukitereza lazima uumie.

Viwanja vya michezo ni muhimu sana. Na hapo ndipo utagundua sababu ya forodhani kutokuwa wazuri kwenye michezo.

Nakumbuka kuna wakati tulikuwa tunajikusanya na akina donal Marunda na mapacha wake, Rajabu, mohamedi Elmamri, rizi, kasmir, steve(Mpingo)...mdogomdogo mpaka viwanja vya gymkhana kucheza soka...
 
uwiiii...wapi teacher mkuu Fadhili Saiwadi.
wapi Mangi muuza chipsi, wapi babu jinga na ice cream zake., Masoud wa pipi.
wapi teacher Mwalongo, teacher Kimath, Chuma, Jamani mwl James amefariki???!!!!!! R.i.p
CC: Natalia

Sunvita nazikumbukaje.
Jamani Snow cream.....karibu na Tahfif
Hahahaha sunvita .mapera maziwa mwalim Mchala lol
 
Last edited by a moderator:
Namkumbuka mwalimu Ngido,Msaki,Asha,Kayombo,Kimathi (a.k.a mama Kelvin)
Juice kwa cha upepo pale karibia na geti....siku ya dini jtano tunaelekea st joseph,Sambusa za caritas nazo we acha.
Jamani mwalimu mushi yupo???

Sr kimati nilikuwa simpendi
 
Sr kimati nilikuwa simpendi

Ha ha ha duuuh maticha walikuwa wengi pale......kuna ticha mmoja hivi sikumbuki jina lake vizur ni mwana mama alikuwa akifundisha kiswahili kafupi kana maziwa hayo.Nilikabutua katoto kake kalinichokoza alikuwa anaitwa julieth basi ilikuwa kesi hatari!!!
 
Me sijasoma enzi za huyo mtu.Sisi ndo wanafunzi wa darasa la saba wa mwisho then shule ndo ikarudishwa kwa kanisa....Nilisoma na walee wakina Ndege

nilimaliza mwaka mmoja mbele yako. unamkumbuka madam simon
 
Wa kiswahili mwenye shepu..anakaa upanga yule...

Bado yupo???daaah nahis walimu wengine watakuwa wizaran sasa hv.Kulikuwa kuna mwalimu ana mashauz huyo hatar anaiwa Assenga.Ni shidaaaa ilikuwa
 
Me sijasoma enzi za huyo mtu.Sisi ndo wanafunzi wa darasa la saba wa mwisho then shule ndo ikarudishwa kwa kanisa....Nilisoma na walee wakina Ndege

we umemaliza na kina eva, janeth, noel saria, lipyoga etc?
 
Atakuwa mtu mzima sasa.....kama si wenyewe tumekua hivi yeye atakuwaje???

ni.mmama lakini mrembo sana alikuwa na mumewe. yaelekea mumewe ana pesa maana alikuwa anaelekea lounge ya business class
 
Back
Top Bottom