Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

Jembe Moses Sarakikya............hahahahhah acha kabisa habari za huyo jamaa ni balaa alikuwa those days

Daah! ingawa hii thread ni ya siku nyingi lakini imenikumbusha mambo mengi mazuri those days

Kwa tuliosoma Bunge p/s from 1986 - 1992, sure Moses Sarakikya alikuwa mtata, lakini alikuwa yuko vizuri kwenye somo la English nakumbuka, though
kuna wengine waliokuwa vizuri kichwani kina Harrieth Lumbanga, vipaji vya soka akina Renatus Njohole, kuwataja wachache.

Mwalimu mkuu wakati huo alikuwa Mama Masasi, msaidizi wake Mama Msafiri.

Watoto tuliokuwa tunaishi Magomeni mapipa na Mwembechai ilikuwa tukitoka shule tu, kabla ya kwenda posta mpya kupanda maikarus yetu, tunazama jengo la kitegauchumi pale, kipindi hicho ndio jengo refu kuliko yote, chezea lift sana, bonyeza vitufe mpaka ghorofa ya ngapi sijui, ilimradi siku hiyo upande lift, dah utoto wa enzi zile.

Ni jambo zuri sana kukumbuka mambo ya utotoni.

Big up sana kwa wote waliosoma Bunge wakati huo, Big up JF members kwa kuleta kumbukumbu hizi.
 

Moses alikuwa anawafata mademu forodhani jamaa alikuwa na njaa, nakumbuka moses alikuwa anakaa Ada estate kino, tushamtiaga na kumpora game na begi lenye ssa. .Moses alikuwa mshikaji sana bdaye
 
Bunge ilikua Kiboko yao,hakuna forodhan,olympio,kisutu wala muhimbil,mambo yote yalikua site senta,wakishua mixa wauswaz ilikua balaaa.Rest in Paradise brother Salehe Gate Keeper)
 
hahaha..dah!rose n paul luena nilikuwa nao darasa moja toka la kwanza.wapi maulid ally,bohora,aman peter,peter malunda,joymaria mazura,emy francis,noel shiyo.dah!mwal onike,kalabo,mushi,chuma

Ly mwaka gn?
 
Bunge ilikua Kiboko yao,hakuna forodhan,olympio,kisutu wala muhimbil,mambo yote yalikua site senta,wakishua mixa wauswaz ilikua balaaa.Rest in Paradise brother Salehe Gate Keeper)

Daah! kumbe Salehe alifariki? Apumzike mahali pema
 
Wooow..hii thread... Mimi nilimaliza 1994. Mwalimu Mbuya, Mwalimu Kalabo, Mwalimu Matata (huyu mtoto wake tulikua nae darasa moja Hussein Matata sijui yuko wapi) Mwalimu Nyalika (mtoto wake Titus Nyalika tulikua nae)
Yule mwalimu mremboo alikua anatokaga na Mwalimu Fadhili nafikiri alikua anitwa Mwl Nasseri alikua mrembo kweli na kalikiti yake.
All in all that school was one of the best public schools in Dar. Wale masista wa kijerumani au kitaliano walitufundisha kushona, nakumbuka darasa la sita tulishona sketi, na la saba tukashona gauni.

Nawakumbuka pia Salama Kikwete, Baraka Shelukindo, Francis Ndamagi,Titus Nyalika, Vincent Kigosi,Dorcas Kaboyoka, Juliana and Phoebe Machuve, Mina Riwa, Jacquiline Rubambe, Caroline Mbelwa, Togolani Mavula
 

Duh wewe lazima tutakuwa tunajuana
 
Bado yupo???daaah nahis walimu wengine watakuwa wizaran sasa hv.Kulikuwa kuna mwalimu ana mashauz huyo hatar anaiwa Assenga.Ni shidaaaa ilikuwa

Huyo Asenga hata mie alinifundisha nilikuwa simpendi yule ticha juu ya mashauzi yake, afu alikuwa anavaa sketi fupi na nyepesi hadi Chupi ilikuwa inaonekana lol
 

Hahaha pia alikuwepo Mwalimu Nyalika wa English, Mwalimu Bange wa Hisabati na Mwalimu Tarimo wa Sayansi Kimu na Mwalimu Matata.Nakumbuka siku za Ibada pale St Joseph nadhani siku za Jumatano asubuhi.
Bakara za Mwalimu Julus nazikumbuka mpaka leo nikiwa class monitor at STD VA.
RIP Mwal James-Alinifanya niipende sayansi na kuiweza mpaka leo.
Nice thread........!
 
mnaikumbukaaa elimu supplies pale nyumaa ya shule kulikuwa na vitabu vingi na tofauti ilitusaidia sana.

Mi napajua sana palikuwa Nyuma ya forodhani ule mtaa unaitwa mansfield,day such a good memory
 
dahh kweli Forodhani tuko wengi.
Lifti za TTCL nimezibembea sana, nimeiba sana penseli kule Tahafif, Masoud tumemuibia sana.

Dah madame B mi nakumbukaga sana muda ile ya mapumziko mchana mi na rafiki yangu mmoja hivi anaitwa Clara munisi tulikuwa tunaenda pale fast food mfukoni tuna 300 tu hata uwezo wa kununua chakula hatuna apo fast food tunaambulia harufu tamu ya mahanjumati kisha haoo tumeridhika na harufu tunarudi shule na njaa zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…