Kwa waliosoma Forodhani shule ya msingi

NIKO MSIBANI

MPAKA RAHA jamaa anapaka watu walaiohai acheni dhambi jamani
Kuweni makini na maisha ya Leo
 
haya mna mkumbuka joseph rubambe ila huyu yuko dar....
 
kama sikosei wale walienda canada long time walipo maliza shule ya msingi wakasepa....

Wallirudi mwaya jama wakachukua jumla

Cc:Mugima NYAMASAGALA

Kuna. Dada mmoja walimpigaga mande mfupimweupe mnamkumbuka
Dah aliyajua mambomapemakwelli
 

Mie mwenyewe LY 99 pale forodhani....itakuwa nakujua wewee
 

huyu saiwadi yupo tu kimara,ni mgonjwa sasa na ameanza kupoteza kumbukumbu.
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa mzuri yule.mwalimu mkuu, kwa kuwa ni kizazi kile, ingekuwa kizazi hiki, angewachapa sana wanafunzi

we ulikuwa A au B?huyo umesema utakuwa unamfaham me namfaham.maana katumia initial ya jina lake mwanzo.
 
bado yupo na uzuri wake' japo kuumwa ndo kumemfanya achoke.

Aiseeer.....pole yake.Na kweli huenda anaumwa coz kama miaka 2 nyuma nilikuwa naenda pale jengo la Anatouglo pale mnaz mmoja kulikuwa na semina ya wajasiriamali nikamuona yupo na katoto ka kiume amevalia sare ya shule.Sikumshtua coz ingenichukua muda kukumbushana na nilikua na wahi semina
 
Alikuwa mzuri yule.mwalimu mkuu, kwa kuwa ni kizazi kile, ingekuwa kizazi hiki, angewachapa sana wanafunzi

Sanaaa maana ule uweupe wake,mwili wake,uSmart wake si mchezo huenda walimu wa kike kama kina Assenga walichezea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…