Kwa waliofika Lubumbashi na Kinshasa

Kwann usipande meli.unapandia pale kigoma had goma nauli 18000tsh ni rahis mno na unabeba vitu ving vya kibiashara
 
Lubumbashi nilishaishi.Utaenda kwa ndege au barabara kupitia Kasumbalesa?Ni PM nikupe ya Lubumbashi ndugu yangu mengine si ya kuandika hapa.

tupe tu ndg yangu tupate kujua/ nothing to hide bro
 
Bamutu ba Mombasa karibu hapa Lubumbashi eeh!! Kwa moyo moja banacongo wote penda karibisha sawa wewe ....mutu yoyote penda kuja huku karibishwa sana

Ni mimi papaa Mwamba mutu ya nzambe

...Mutu Mingi Yakongo Sa Bhanapendaka Kujiambizee Nijuu Bhafananake Na Bhatu Ba Ngambo Ya Mbali!
 
Kununua kipoozeo cha maana ni ghali sana 200 USD mpaka asb afadhali kigali 100 USD unapiga ngozi safi
 
Kakamate fursa mkuu. Ngoja nikuitie mdau aliepo kule... msumeno ukuje pande hizi kuna chalii anatakakuja pande hizo.

Fursa gani unayomwambia akakamate wakati anaulizia malaya na machangudoa!! Mada nyingine ndio maana hatushauri zimekaa kizinzi tu
 
Fursa gani unayomwambia akakamate wakati anaulizia malaya na machangudoa!! Mada nyingine ndio maana hatushauri zimekaa kizinzi tu

we hujui hata kwa malaya kuna fursa flani,we unajua kugegedana tu kila unaposkia suala la malaya.
 
Sihami bongo hata iweje aisee nlienda lubumbashi na kigali ni pa ajabu mno
 
kinshansa lazima ukwee pipa
lubumbashi,hata kwa bazi through tunduma na kasumbaresa border.
mapendekezo.
tumia basi elekea katanga province mji ndo lubumbashi
kwa papa moise chapwee.
Gramentee kayemba.
Bayeba te.
 
Fursa gani unayomwambia akakamate wakati anaulizia malaya na machangudoa!! Mada nyingine ndio maana hatushauri zimekaa kizinzi tu

Mkuu mimi nimepeak vya mhimu tu hasa issues za bzness make nafahamu mtoa mada ni mpiganaji so sijajua km bzness zake anakutana na hao aliowataja. Anyway mengine ni personal issues zake!!
 
Kule askari wanapenda rushwa sana zaidi ya tz. Ukimpa rushwa askari mkubwa.na mdogo pia umpe hapohapo kila MTU na chake.Malaya wa kumwaga dola 20-50 .askari wakike wanachapika tu na bundukizao .
 

Una mtaji kiasi gani wewe nikufundishe kuwa bilionea ukiwa umelala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…