Kwa wale wanaolalamika kupanda kwa gharama za vifurushi vya internet hii ndio mitandao ya kuhamia kwa sasa

Asee poleni sana,,, nilikuwa natumia MTN hawa jamaa ni wezi TIGO wanasubiri, kwa maana unaweza ukaweka airtime yako ikaingia kabisa lkn baada ya sekunde kumi usiione,, now nimejituliza zangu TELECOM yani huku ni bure yao fungulia mbwa,, ukinunua airtime unapata mara mbili yake kiasi kile ulichonunua, so kiasi kile ulichonunua unajiunga bando na ile bonus yako unatumia kupiga tena mitandao yote,, hata zile website zetu pendwa naingia bila stress
Telecom kama Telecom mali ya Billionea Dr.Strive Masiyiwa
 
Upo nchi gani mzee?
 
Habari ya wikiendi wana JF wenzangu.
Jana baada ya kutoka mishemishe jioni si nikasema ngoja nitumbukie vocha nichungulie kinachoendelea mitamdaoni.
Nikapita dukani nikanunua Zantel ya 500 dhumuni nijiunge cha chuo ambacho ni MB 500 kwa siku 7 maana sina matumizi mengi ya data.
Ile kupiga *148*05# nakuta kuna MB 250 pozi likaniishia nikajisemea ngoja nichungulie kwenye mitandao mingine kupoje.
Eni wei ifuatayo ni mitandao ambayo ina vifurushi pengine ni nafuu kwa mteja

1. HALOTEL
Hawa jamaa ili upate MB za maana unatakiwa uweke salio kwenye Halopesa kisha piga *150*88# kisha chagua namba 3 utachagua Mega Bando
Tsh 1000 = GB 1 kwa siku 7
Tsh 3000 = GB 3 kwa siku 7
Tsh 500 = GB 1 saa 6 usiku mpaka 12 asubuhi

2. TTCL
Wana bando lao linajulikana kama BANDO TAMTAM sharti uwe na salio kwenye T PESA yako
Tsh 1000= Dk 10, SMS 50 na GB 1.2 kwa siku 5
VIpo vipo vingine ni
Tsh 500= 300 MB

3. VODACOM
Wazee wamepunguza bando mpaka basi yaani hata zile ofa za DAR SUPA UNI wamezibadilisha kabisa.

4. TIGO
Hawa sijui huko hali yako ipoje?
Kw wale mnaojiungaga na SAIZI YAKO najua mnafahamu kilichobadilishwa huko.

5. ZANTEL
Hawa ni Tigo waliochamgamka. Walikuwa na vifurushi vizuri mno, walipigiwa sana chapuo na bwana Extrovert mpaka ikanipelekea kusajili laini yao.
Lakini walichokifanya ni balaa.

6. AIRTEL
Hawa jamaa hata ukipiga *149*81# wamebadilisha kila kitu, hata kile kifurushi chao cha USIKU kuanzia saa 6 hadi 12 asubuhi ni mazingaombwe tu.
Weew vuta picha yaani ukae mpaka saa 6 usiku kwa ajili ya kujiunga MB 375 just imagine!

Mwisho kabisa nawashauri mrudi HALOTEL tu maana hakuna mambo mengi kule MB kama zote.
Umesomeka mi ndio natumia iko poa kulingana na hali ya sasa
 
Nchi inabadilika kwa speed Kali Sana.
mkomaetu hamna namna

Chukua bando kubwa halafu linaenda kwa speed ya kunyata,ngoja kwanza nitafakari...
 
Bando za usiku mtu usilale kisa bando daa labda kama mie Watchmen
 
Back
Top Bottom