Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

Oa tu mkuu ili uanze kuzoea mapema changamoto za ndoa mfano kuchapiwa na ma-ex wa mkeo,mabosi wake,bodaboda wanaomfichia siri za kupelekwa kuchepuka,wale waliowahi mla 0713.. ili nao wasitoe siri n.k.
Acha mawazo finyu wewe! Ukute upo umejilaza kwenye kochi la shemejio unasubiri hela ya mboga halafu unakatisha wenzako tamaa!
 
daah Mkuu umenimaliza kwa kweli. ila huyu mwanamke nipo nae mwaka wa nne sasa. ila maneno yako yamenigisa sana mkuu.. umeongea ukweli flani hvi mchungu sana. ila sasa tutafanyaje!! yaani hapo ulipotaja mabosi zake mdio umenikoroga maana nature ya kazi yake ni balaa. anafanya zile kazi za mguu upande mguu usawa. si balaa hilo mkuu
Acha kuwa dhaifu nawewe namna hiyo! Unadhalilisha uanaume wako wewe jiamini!
 
Binafsi ndo huwa cha kwanza kumuangalia KE
Iko hivyo mkuu una weza kukuta KE kufuli Lake lime lock,uka fungwa ndo ukawa kama ume wasafishia njia wenzio wakija hawapati kazi Wana kula kilaini kisa kichwani hamna kitu....
 
Mkuu mim nilioa nikiwa 17. Nilipofikisha 22 nikaongeza. 26 tena nikaongeza mwingine hapa nafanya namna niongeze mwingine.

Msinishangae ni kawaida yetu malaiguanan kuvuta majiko mengi.

Huyo mwingine unamuongeza kutoka hapa JF mkuu?.......ni yule ambae anakusumbua sana kule pm?
 
Mliowahi kuoa mlidhani wanawake watakwisha. Sasa mmepigwa na butwaa kitaa kuna totoz kali na nyie mmeshajipiga pini na vi bibi vizee! Mtuwache turinge sie ambao tumechelewa kuoa. In the end of the day tunakamata totoz kali zaidi yenu.
Watakuwa wakwe zako sio?yaaani utawakamatia watoto wao sasa
 
Dah... Miye darasa la nne tayari nimejenga nyumba yangu.... LA sita nimemweka mke ndani....
 
Acha kuwa dhaifu nawewe namna hiyo! Unadhalilisha uanaume wako wewe jiamini!
Stable women nipuka likes, kwa hoja zako murua kabisa, umeufanya Uzi wangu uonekane bora kabisa.
 
Mkuu mim nilioa nikiwa 17. Nilipofikisha 22 nikaongeza. 26 tena nikaongeza mwingine hapa nafanya namna niongeze mwingine.

Msinishangae ni kawaida yetu malaiguanan kuvuta majiko mengi.
Khaaaa umekuwa mswati
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom