Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

Acha mawazo finyu wewe! Ukute upo umejilaza kwenye kochi la shemejio unasubiri hela ya mboga halafu unakatisha wenzako tamaa![emoji40]
Wala siyo finyu kama unavyowaza,hata hivyo inaonyesha wewe ni miongoni mwa wanawake wanaowasifia wanaume wale ambao HAWAJALI wake zao wanachepuka au laa hadi UKIMWI uje uwasombe.
 
Mimi ndio basi tena sina tegegemeo la kuoa maana nimefikisha 41.
 
Mi natamani ningeolewa wakati niko miaka 18 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mume angenikuta mlango una kufuli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Bila shaka sasa hivi hata komeo limeng'olewa kabisa
 
Oeni jamani kuna raha zake aisee,kibaridi hichi mtoto katulia tuli nasubiriwa tu baba hapo
 
Mi natamani ningeolewa wakati niko miaka 18 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mume angenikuta mlango una kufuli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Vip kwa hiyo sasa hivi hakuna kufuli kila mtu anapita tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom