Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

Mi natamani ningeolewa wakati niko miaka 18 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mume angenikuta mlango una kufuli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ulitolewa ukiwa na mingapi?
 
Mi natamani ningeolewa wakati niko miaka 18 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mume angenikuta mlango una kufuli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] embu dadavua hapo ...kufuri?
 
jamani mimi nna mpango wa kuoa mwaka huu ila nina miaka 26. je nimewahi au?? maana naogopa
 
Mi natamani ningeolewa wakati niko miaka 18 [emoji3][emoji3][emoji3]
Mume angenikuta mlango una kufuli [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ila now ukichungulia mlango unaona mpaka lindi au
 
jamani mimi nna mpango wa kuoa mwaka huu ila nina miaka 26. je nimewahi au?? maana naogopa
Huja chelewa wala huja wahi, tatizo ni Malengo yako. .....unajiona wapi baada ya miaka 5 mbele, je hiyo ndoa itakusaidia kufikisha Malengo au itakurudisha nyuma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom