srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,270
- 4,182
daah mkuu umetisha sanaOa tu mkuu ili uanze kuzoea mapema changamoto za ndoa mfano kuchapiwa na ma-ex wa mkeo,mabosi wake,bodaboda wanaomfichia siri za kupelekwa kuchepuka,wale waliowahi mla 0713.. ili nao wasitoe siri n.k.


