Kwa wale waliooa mapema kabisa tupongezane

Mkuu mim nilioa nikiwa 17. Nilipofikisha 22 nikaongeza. 26 tena nikaongeza mwingine hapa nafanya namna niongeze mwingine.

Msinishangae ni kawaida yetu malaiguanan kuvuta majiko mengi.

Haha, hongera Daby.
 
Hahaaa, duh!

Ningefurahi kama ningekuwahi nikawa wa kwanza.
Tatizo mie mchoyo sana, sipendi ku share napenda ya peke yangu.

Teh haya bwana.

Niliskia wanasema utamu wa mme muwe wa4.
 
mkuu form2 Ni kwamba ulimpa binti wa watu mimba au? Ulikuwa Na umri gan? Na uyo mke alikuwa Na umri gani? Ulisoma day au bording ? Mko pamoja mpaka sasa Na mnapendana ,,,hongera lakini maana haya maamuzi Ni hatarii
 
Mkuu mim nilioa nikiwa 17. Nilipofikisha 22 nikaongeza. 26 tena nikaongeza mwingine hapa nafanya namna niongeze mwingine.

Msinishangae ni kawaida yetu malaiguanan kuvuta majiko mengi.
Laiguanan uko vizuri unataka Mke mwingine tena??
 
Mods naomba mnieditie hapo kwenye waliooa iwe balanced na jinsia ya kike (walioolewa).
 
Mi natamani ningeolewa wakati niko miaka 18
Mume angenikuta mlango una kufuli
Na angekupenda kwa kiwango kikubwa,sasa alivyokuta MASELA walishabomoa,kila akifurahi kua nawewe,akiwaza alivyokukuta,furaha inapungua hatakama aliyezindua ni mmoja yeye anawaza kua WAMEPITA 30+.
 
Kivyake...
 
mkuu form2 Ni kwamba ulimpa binti wa watu mimba au? Ulikuwa Na umri gan? Na uyo mke alikuwa Na umri gani? Ulisoma day au bording ? Mko pamoja mpaka sasa Na mnapendana ,,,hongera lakini maana haya maamuzi Ni hatarii
Tupo naye, kawaida tu mbona!
 
jamani mimi nna mpango wa kuoa mwaka huu ila nina miaka 26. je nimewahi au?? maana naogopa
Oa tu mkuu ili uanze kuzoea mapema changamoto za ndoa mfano kuchapiwa na ma-ex wa mkeo,mabosi wake,bodaboda wanaomfichia siri za kupelekwa kuchepuka,wale waliowahi mla 0713.. ili nao wasitoe siri n.k.
 
Mkuu mim nilioa nikiwa 17. Nilipofikisha 22 nikaongeza. 26 tena nikaongeza mwingine hapa nafanya namna niongeze mwingine.

Msinishangae ni kawaida yetu malaiguanan kuvuta majiko mengi.
Airoroki olaigwanani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom