Pole Maa..!!
I can understand that dear, lakini huwezi amini nimeongea na Vinci the same thing it's more than two years now, naongea naye kila iitwapo Leo lakini hata dalili ya kubadilika hakuna, ananifariji tu, then kesho nitakuta anajidharau na kujiona hana thamani tena..!.
Mpaka najiskia vibaya sababu I've tried alots kuwa karibu naye na kujaribu kumbadili akuwe positive mpaka Leo imeshindikana.! Ndiyo maana nikimuambia ananiboa anaelewa wapi tumeanza me na yeye kuzungumza abadilike..!
Everyone got his/her own awful story behind this smile Zöe, lakini tunajifunza kuachilia na kujifunza kuwa wapya tena, haina maana yoyote ku dwell on the past, let the bypass gone!
Mungu katupa nafasi ya kuwepo duniani maana yake anayo sababu na kusudi jema kwa maisha yetu! Waweza jiona una matatizo lakini utakutana na mtu ana matatizo mpaka utahisi wewe umependelewa.!!
Tuiheshimu hii nafasi ya kuishi tuliyopewa na Mungu, sababu huwa inakuja mara moja tu, as long as we got this life, then let's live our best life at it's fullest.!!