Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,952
Ooh niceNatania. Yani ungejua how I'm happy for now
I'm glad you're happy now
Sent using Jamii Forums mobile app
Ooh niceNatania. Yani ungejua how I'm happy for now
The Unworthy,Useless,Broken and all blah blah..
Nawezaje kumpa mtu furaha kiasi hiko
Not that real madam..
Unaboa sasa Vinci'..
Rafiki furaha ni kwamba now niko home. Nilipamiss kua na mama karibuLazima nikuje uniambie reason for your happiness rafiki yangu.!!
Unaelewa hata tunachozungumzia hapa Myahudi.?Haboi, Penzi kikohozi
Unaelewa hata tunachozungumzia hapa Myahudi.?
Huyu nilimuomba awe sababu ya furaha akaniblock kabisa. Then ananiatack mm kua why I'm not happy. Wakati kakataa maupendo niliyotaka kummwagia toka 1yr agooNaelewa Boss
Huyu nilimuomba awe sababu ya furaha akaniblock kabisa. Then ananiatack mm kua why I'm not happy. Wakati kakataa maupendo niliyotaka kummwagia toka 1yr agoo
Thread zako boss zina maneno makali sana, Wanaogopaa
Usikate tamaa tu utapata wakoHuyu nilimuomba awe sababu ya furaha akaniblock kabisa. Then ananiatack mm kua why I'm not happy. Wakati kakataa maupendo niliyotaka kummwagia toka 1yr agoo
Be the reason of my happiness adorabella
Everyone needs someone to belong aurora!Usikate tamaa tu utapata wako
kuna plenty of reasons of being happy bila ya kuwa kwenye relationship .
Sent using Jamii Forums mobile app
Omba yasikukute!
Bado unakumbuka hilo jinaBe the reason of my happiness adorabella
Naona umeamua kutaja id zangu nyumaEveryone needs someone to belong aurora!
