Kwa wale walio mapenzini

Kwa wale walio mapenzini

"Mentor"?? Bro you've got to be kidding me!!

How on earth could you even think that there are people out there who picture me as their mentor?? Perhaps I need to know more!!
Yes..Am very positive...Perhaps we differ on how we See things...Maybe the Context !!?(Mentor)

Am not Kidding u!??How could I do that!??

Don't look down on yourself,,

(I)my self acknowledge your contribution so very much!!,(I don't take u For granted even a bit!!

Do u have any idea.. How many in here have Joined the Jf because of u!??

Do u know how Much u have changed the mindset of so many in Jf!??

Lastly...Have U ever ask yourself why U are so famous in this forum!??

I rest my case..

Anyhow I feel the empathy...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oohh then he is lucky that atleast he has someone who puts an effort to try to talk to him out of it, I think perhaps he just needs some more time to recover from the situation so don't give up on him.

As for me I'm really struggling to put a smile on my face so as to cover the pain in my heart, I really try to leave all my childhood memories behind me. But I just don't know why they keep coming back and flowing into my mind like a series of events, anyways thank you for your precious advice sis God bless you.
Pole for what you're going through
Stay strong Zoë

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes..Am very positive...Perhaps we differ on how we See things...Maybe the Context !!?(Mentor)

Am not Kidding u!??How could I do that!??

Don't look down on yourself,,

(I)my self acknowledge your contribution so very much!!,(I don't take u For granted even a bit!!

Do u have any idea.. How many in here have Joined the Jf because of u!??

Do u know how Much u have changed the mindset of so many in Jf!??

Lastly...Have U ever ask yourself why U are so famous in this forum!??

I rest my case..

Anyhow I feel the empathy...

Sent using Jamii Forums mobile app
To tell you the truth I'm speechless on this one, I don't know why but I just find it difficult to believe your words.

Anyway, thank you.
 
Pole Maa..!!
I can understand that dear, lakini huwezi amini nimeongea na Vinci the same thing it's more than two years now, naongea naye kila iitwapo Leo lakini hata dalili ya kubadilika hakuna, ananifariji tu, then kesho nitakuta anajidharau na kujiona hana thamani tena..!.

Mpaka najiskia vibaya sababu I've tried alots kuwa karibu naye na kujaribu kumbadili akuwe positive mpaka Leo imeshindikana.! Ndiyo maana nikimuambia ananiboa anaelewa wapi tumeanza me na yeye kuzungumza abadilike..!

Everyone got his/her own awful story behind this smile Zöe, lakini tunajifunza kuachilia na kujifunza kuwa wapya tena, haina maana yoyote ku dwell on the past, let the bypass gone!

Mungu katupa nafasi ya kuwepo duniani maana yake anayo sababu na kusudi jema kwa maisha yetu! Waweza jiona una matatizo lakini utakutana na mtu ana matatizo mpaka utahisi wewe umependelewa.!!

Tuiheshimu hii nafasi ya kuishi tuliyopewa na Mungu, sababu huwa inakuja mara moja tu, as long as we got this life, then let's live our best life at it's fullest.!!

daaaahhh sasa naelewa vizuri, kila kama jamaa yupo hivo Basi silaumu kitu

hii kitu naifili sanaaa sanaaaa bora hata Vinci anapata mtu wa Kumjenga na kuwa Karibu nae sisi wengine tunakufa nayo taratibu hatuna hata wa kumsimulia.

hayo aliyoyasema hapo juu ukamwambia anaboa ni kweli kabisa tunafeel hivo, sisi ni wazee wa kujifungia ndani muda woteee, ukifika mahali unawaza mengiii unahisi hutakiwi hapo unajikuta unaondoka unarudi zako ndani kujifungia

hatuna marafiki,simu zetu zimejaa games tu, unaweza siku 7 simu usiite wala msg usipate

Achane asee
 
Mnaniumiza na kunitesa sana hamjui tu, I've passed through some shits too hivyo nikiona mtu anaumia naumia zaidi yake, I wish I were in a position to help..!.
Hayo yote yatabadilika ukianza kuibadili mindset yako Myahudi you gonna pass through it..! they say there's always a light at the end of the tunnel! Fear not, don't give up on yourself, you're that special someone and God place where you are for a purpose.!!
 
Tunajitahidi sanaaa sanaaa kutoka hapa, changamoto ni kubwa.

Samaki Mkunje angali mbichi
 
Kumbe ndio maana nilivyokutania mchawi ukaumia, you so delicate/fragile kitu kidogo mnahisi kama kisu kimegusa mfupa.
daaaahhh sasa naelewa vizuri, kila kama jamaa yupo hivo Basi silaumu kitu

hii kitu naifili sanaaa sanaaaa bora hata Vinci anapata mtu wa Kumjenga na kuwa Karibu nae sisi wengine tunakufa nayo taratibu hatuna hata wa kumsimulia.

hayo aliyoyasema hapo juu ukamwambia anaboa ni kweli kabisa tunafeel hivo, sisi ni wazee wa kujifungia ndani muda woteee, ukifika mahali unawaza mengiii unahisi hutakiwi hapo unajikuta unaondoka unarudi zako ndani kujifungia

hatuna marafiki,simu zetu zimejaa games tu, unaweza siku 7 simu usiite wala msg usipate

Achane asee
 
daaaahhh sasa naelewa vizuri, kila kama jamaa yupo hivo Basi silaumu kitu

hii kitu naifili sanaaa sanaaaa bora hata Vinci anapata mtu wa Kumjenga na kuwa Karibu nae sisi wengine tunakufa nayo taratibu hatuna hata wa kumsimulia.

hayo aliyoyasema hapo juu ukamwambia anaboa ni kweli kabisa tunafeel hivo, sisi ni wazee wa kujifungia ndani muda woteee, ukifika mahali unawaza mengiii unahisi hutakiwi hapo unajikuta unaondoka unarudi zako ndani kujifungia

hatuna marafiki,simu zetu zimejaa games tu, unaweza siku 7 simu usiite wala msg usipate

Achane asee
Man mm nishagundua ushauri wa watu hauwezi niondolea aibu,Hofu,kupenda upweke,kujikataa na mengine mengi. So what I'm doing now ni kuendelea kua hvo hvo nilivyo. Maana mwisho yule anayeku care unamvunja moyo na kumuudhi bure kwa kitu kilicho nje ya uwezo. So will proceed to be the way I'm. Useless Unworthy Unwanted..
Will try to enjoy it
 
Umeongea yote mkuu !!
 
Yeah na hii ndiyo sababu kwanini hata mimi sina marafiki, maana naona hata nikiwa nao nitawaboa na kuwaudhi tu mwishowe wataondoka japo kuna muda huwa najitahidi sana kuwafanya watu wabaki maishani mwangu lakini nashindwa.

Nimejaribu kuikabili hii hali nimeshindwa, hivyo nimeona niikubali tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom