- Thread starter
- #41
Jamaniiii mbona warembo wameijaza hii dunia, maua mazuri kila mahali, watoto wakali sema mnafail kwenye kuyabania hayo mapenzi ili muonekane wagumu by nature.
Hata wa kutongoza sioni...nioneshe basi

