Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Hua sisahau kitu Rory
Hua sisahau kitu Rory
Sorry
Exactly,Usikate tamaa tu utapata wako
kuna plenty of reasons of being happy bila ya kuwa kwenye relationship .
Sent using Jamii Forums mobile app
Did I ever block you Vinci?? When??Huyu nilimuomba awe sababu ya furaha akaniblock kabisa. Then ananiatack mm kua why I'm not happy. Wakati kakataa maupendo niliyotaka kummwagia toka 1yr agoo
There's thin line btn Love and hate..Did I ever block you Vinci?? When??
I am telling you this everyday usitegemee kupata furaha kwa mwanadamu Vinci, mwanadamu atakupa maumivu siku zote.! Learn to appreciate your own damned company.!!
Furaha ya kweli inatoka ndani yako, na wala siyo kwa watu wala kwa vitu vinavyokuzunguka..
Here's a list of things to do make you happy when you're single /Google/Nadhani upo tayari kukinga maupendo nayotaka kukumwagia
Nadhani upo tayari kukinga maupendo nayotaka kukumwagia
Ooh vizuri kama hivyoThat's doesn't stress me. And I didn't expect you to say Yes.
So I'm Fucking Comfortable
We mchawi kwani?😊
kila la heri clients,,, pia usisahau kuosha mikono yako kwa maji safi na salama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwango cha uchawi kimeongezeka naona😊😊
Usiseme hivo mkuu,
Aise hongereni sana mnaopendwa, sie wengine tushajizoelea maisha ya kutokupendwa.